Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Wakati unafanya hivyo unafurahi? Yaani mwenzako yupo kwenye panic mode wewe unafurahi, furaha yako ipo pale unapoona mwenzako kakasirika..hilo binafsi nahisi ni tatizo.

Je, mnaishi wote na huyo jamaa au ni kupitia calls na texts ndio unamfanyia hivyo?
Kwenye text, akiwa anafunguka vile ndiyo furaha yangu, hapo atakuwa mkweli mpaka kuwa hataki kukupoteza sijui, Mimi ewaaah'...!!
 
Sasa mimi mtu mchokozi hua simjibu meseji ndefu najibu tu short (sawa,ok, fine) na akiendelea atajikuta ni ex wangu
 
Kwenye text, akiwa anafunguka vile ndiyo furaha yangu, hapo atakuwa mkweli mpaka kuwa hataki kukupoteza sijui, Mimi ewaaah'...!!
Mkiwa pamoja je? Unaweza kum-tease wakati mnakula chakula cha usiku?[emoji23]
 
Hahahaa,
amehangaika weeh', hakuna cha maana alichopata zaidi ya experience ya kufa mtu na broken hearts kama 1000 walaqhi' tena..!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahah dah demu mmoja anawezs kuwa na tabia za kiwaki 100 sasa niki refer muwe mnaelewa ni madem hao hao wawili[emoji28] maana wapenzi wangu wawili tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi hao wawili watakuwa aliens, sio kwa matukio yote hayo!
 
Kiukweli nilifurahia sana mahusiano yale, mimi si muongeaji sana kwa hiyo napenda mwanamke mcheshi na mchangamshaji. Wanawake wa hivi wengi wanakuwaga na upendo sana, na wanavyokera wanakuwa wanaongeza amshaamsha ya mapenzi kama pilipili kwenye mboga.
Kwahio anakuchangamsha kwa kero?
 
Hilo ni tatizo.. wewe unaona utani mwenzio anachukulia serious. Hapo ndio wanaendaga kutafuta sehemu yenye Amani anapumzika zake... Binafsi sipendi mahusiano yenye malumbano nachefukwa haraka Sana.... Napenda mpenzi tupige story tuchekeee,tudisiscuss idea,tusengenye wananzengo Kiasi japo wanajitiaga hawataki umbea kumbe wanautaka Sana.... Achana na huo mchezo shosti
 
Back
Top Bottom