Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Dada siku ukiwashwa ndo utaelewa na kuacha hyo tabia ya ugomvi [emoji23][emoji23] ukikutana mbabe labda shwm mpole ndomana unamletea hizo
 
Inategemea na ugomvi unakuwaje, aidha ni Mimi nijishushe ama tuutafutie tu solusheni uishe..!
Na siyo mtu yoyote hapana, only my man..!!
Hiii Hali anayo mamawatoto wangu, exactly ulichokiandika ndivyo alivyo changanya nauswahili wake wapwani ndio balaa,Ila kusema kweli mara nyingi unakua niwivu uliopitiliza nakutaka serious attention kutoka kwahyo umpendae ,yy husisitiza ananipenda lkn,kwangu Naona sio type yangu,mm nahitaji cool and submissive wife,
Kwakweli magomvi ktk mahusiano hasa yakujitafutia huharibu mahusiano nakuibua hisia hasi ,no body wants to be around an irritating person,Kua na irritative behaviour Unarisk Sana mahusiano yako kuvunjika ,kwasababu zako zakukifurhisha,
Ushauri wangu,ni either utafute MTU mtakae endana nae au ujiandae Kwa lolote maana sio Tabia most men need, nawasiliana.
 
Hata hivyo mlishasema yenu matako akili mtatumia zakwetu!..
By the way itafaa zaidi ukutane na mtu ambae furaha yake ni kuona nundu ama damu nafikiri yatakuwa mapenzi ya heri kwenu..[emoji16]
Yaani nakumbuka mkuu mapenzi yahivi,Hadi mnashikiana silaha,nakung'atana nishawahi kung'atwa mara kadhaa mgongoni namikononi kuanza kuuguza majereha mapenzi yahivi hayana afya kwakweli nikutafuta attention zisizo zamsingi halafu huleta madhara Tu nakuondoa mazungumzo chanya Kati yenu
 
Eti kuseng'enya wananzengo kidogo,nikweli mkiwa ktk mahusiano yaliyoshibana yataambatana,nakupiga story kadhawakadha,kupeana umbea wahapa napale ,kuzungumza maendeleo,nnachangamoto ikiwemo familia zenu najinsi ambavyo ndugu wanazingua au kusaidia,SASA haya mambo ya ugomvi daahh,japo namm nishakutana na Aina hii yamapenzi natumzaa nae , kiukwel nichangamoto
 
Eeh Raha ya mpenzi Muwe na amani bwana sio migubugubu
 
Dada siku ukiwashwa ndo utaelewa na kuacha hyo tabia ya ugomvi [emoji23][emoji23] ukikutana mbabe labda shwm mpole ndomana unamletea hizo
dada mbona sahii najifunza kuishi ndani ya Kristo.???
 
Mashetani mlikutana..😂
 
Mkurya nini wewe?
 
Unadeka,....juzi nko na demu wangu bafuni kaning’ata kifuani tena kwa nguvu mpaka nimehamaki afu ye anacheka tuu,..yaani mpaka ngozi imetaka kutoka.
 
Subili uje utolewe meno
 
Yani mtu niliyemtafuta ili anipe furaha ndio anakuwa chanzo cha stress Kila akijiskia?
 
Itakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…