Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Jizaaaazi,
Wewe kaka, 'Mimi siyo Mimi' tena.?

Natumaini ni tabia ya kawaida, tusifike huko kwingine tafadhali.!
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]unavyoongelea mchape kweli kweli kama unaona ni shughul ndogo hiyo
Yan wakati nachapwa kweli kweli niko tu nakuangalia tu au !!! Anyway mtuchape
 
Kuna demu alikuwa ana have fun of my panic disorder kama hivyo! Niliishiaga kumbutua na penzi likafa😅! Kwa mtu aliezoea amani ni mbaya sana kumfanyia hivyo.

Kwake ilikuwa starehe ila kwangu ni kero, the exact thing unamfanyia jamaa na ana react ndio ilikuwa mimi huyo. Nachemka kwa hasira napandisha sauti like crazy yeye anafurahi weee!

Kwangu thats toxic as Fuc nilibwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…