Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Jiangalie. The more unazidi kumkasirisha mtu. The more unazidi kumsogeza mbali.
Ww unaona utani mwenzio anachukulia serious.
Siku atachoka utaona ha respond tena, ndio utajua hujui.

Kukushauri tu tafuta mtu anae elewa your behaviour.. oh suppress hiyo hali or risk loosing great men
Ndiyo maana nimeuliza ili kama kuna namna ya kupunguza nifanye hivyo, I'll try my best akii.!
 
One of my exes alikuwa na tabia kama hizo, sometimes umelala anakuchokoza halafu anakimbia nje, au anakukera tu bila ya kuwa na sababu maalumu. Its kinda sexy, mwanamke anayependa utani na masihara anakera lakini anavutia kwa njia ya kipekee.
Umenikumbusha mbali sana. Hahah...
Haha..!
Nashukuru kuna mtu anaelewa ile namna, ukianza kugomba gomba siye ndiyo tunapata amani walaqhi'..!
 
Kwa hiyo from nowhere unajitungia ka ugomvi kako. Hapo sas umkute ambae si mtu wa kupanic haraka tofauti na hapo mtagombana kweli.
Vile najua I ain't serious huwa siruhusu ifike mbali sana..!
 
Guys,

Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.

Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.

Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.

Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.

Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.

Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Hii kitaalamu inaitwa therapeutic conflicts,huchangia kuleta afya ktk mahusiano sometime!

Mimi ni shuhuda.
 
Guys,

Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.

Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.

Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.

Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.

Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.

Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Ukae karibu na mimi unichokoze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakushika ziwa nikiona hukomi nakushika Mbususu najua utaacha uchokozi na utakaa kwa kutulia

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Wakati unafanya hivyo unafurahi? Yaani mwenzako yupo kwenye panic mode wewe unafurahi, furaha yako ipo pale unapoona mwenzako kakasirika..hilo binafsi nahisi ni tatizo.

Je, mnaishi wote na huyo jamaa au ni kupitia calls na texts ndio unamfanyia hivyo?
 
Back
Top Bottom