Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Jiangalie. The more unazidi kumkasirisha mtu. The more unazidi kumsogeza mbali.
Ww unaona utani mwenzio anachukulia serious.
Siku atachoka utaona ha respond tena, ndio utajua hujui.

Kukushauri tu tafuta mtu anae elewa your behaviour.. oh suppress hiyo hali or risk loosing great men
Hii comment nimeicopy nimetumia mdada hivi. Ahsante mkuu.
 
Attention seeker, unaitaka attention yake na umegundua namna ya kuipata ni kuzua ugomvi. Tabia za vitoto vya mwisho hizi na vitoto vilivyokosaga attention ya wazazi.
Mbona attention ninazo za kunitosha jamani huwa hata sitafuti nyingine Espy..!?
 
Hahahahah Aisee, Itabidi nikuazime huyu wa kwangu mcheze huo mchezo maana mnafanana tabia, akiona mnafuraha tu lazima alianzishe bila sababu ya maana.
Ukikua utaacha lakini
 
Mbona attention ninazo za kunitosha jamani huwa hata sitafuti nyingine Espy..!?
Umesema unafurahia text zake ndeeefu wakati mnapogombana. Yes mnapogombana its obvious anakupa attention zaidi ili muumalize ugomvi. Kwahiyo yawezekana anakupa attention ila sio ile unayoitaka wewe ndio maana unayazua ya kuyazua.
 
Oooow'...!
Nimekupata sasa C'ssy.. Inawezekana pia.!
 
Kuna demu alikuwa ana have fun of my panic disorder kama hivyo! Niliishiaga kumbutua na penzi likafa😅! Kwa mtu aliezoea amani ni mbaya sana kumfanyia hivyo.

Kwake ilikuwa starehe ila kwangu ni kero, the exact thing unamfanyia jamaa na ana react ndio ilikuwa mimi huyo. Nachemka kwa hasira napandisha sauti like crazy yeye anafurahi weee!

Kwangu thats toxic as Fuc nilibwaga
Haha,
Kwani mwanangu Extro ulikuwa na manzi wangapi??
 
Kuna demu alikuwa ana have fun of my panic disorder kama hivyo! Niliishiaga kumbutua na penzi likafa[emoji28]! Kwa mtu aliezoea amani ni mbaya sana kumfanyia hivyo.

Kwake ilikuwa starehe ila kwangu ni kero, the exact thing unamfanyia jamaa na ana react ndio ilikuwa mimi huyo. Nachemka kwa hasira napandisha sauti like crazy yeye anafurahi weee!

Kwangu thats toxic as Fuc nilibwaga
Dogo una matukio hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom