Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Hii comment nimeicopy nimetumia mdada hivi. Ahsante mkuu.
 
Attention seeker, unaitaka attention yake na umegundua namna ya kuipata ni kuzua ugomvi. Tabia za vitoto vya mwisho hizi na vitoto vilivyokosaga attention ya wazazi.
 
Mbona attention ninazo za kunitosha jamani huwa hata sitafuti nyingine Espy..!?
 
Hahahahah Aisee, Itabidi nikuazime huyu wa kwangu mcheze huo mchezo maana mnafanana tabia, akiona mnafuraha tu lazima alianzishe bila sababu ya maana.
Ukikua utaacha lakini
 
Mbona attention ninazo za kunitosha jamani huwa hata sitafuti nyingine Espy..!?
Umesema unafurahia text zake ndeeefu wakati mnapogombana. Yes mnapogombana its obvious anakupa attention zaidi ili muumalize ugomvi. Kwahiyo yawezekana anakupa attention ila sio ile unayoitaka wewe ndio maana unayazua ya kuyazua.
 
Oooow'...!
Nimekupata sasa C'ssy.. Inawezekana pia.!
 
Haha,
Kwani mwanangu Extro ulikuwa na manzi wangapi??
 
Dogo una matukio hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…