this came to me as a surprise walaqhi'..! Nimeskia kubarikiwa sana..!! Barikiwa pia hakika,Kiukweli nilifurahia sana mahusiano yale, mimi si muongeaji sana kwa hiyo napenda mwanamke mcheshi na mchangamshaji. Wanawake wa hivi wengi wanakuwaga na upendo sana, na wanavyokera wanakuwa wanaongeza amshaamsha ya mapenzi kama pilipili kwenye mboga.
Hahahaa,Msururu wake hadi shetani anaogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Extrovert unaona mahangaiko yako umeswampa weeee sasa hivi umebaki kutusagia kunguni eti tunyimwe hela. Ushindwe
Wengine inakuwa hujui kama unataniwa, wewe unajua tupo serious lakini Mimi naenjoy..!! Msalimie mtani mwenzangu.!Utani wa hivyo alikuwa nao demu mmoja
Napenda utani ila sio wa kupitiliza sana
Ila mwisho siku moja kanitania sana na mimi nimechoka nilichomfanyia alishtuka sana ila baadae akaja kuniambia eti nirudie tena nikamwambia unataka kunifungulia kesi akacheka sana na kusema kumbe ukifanya umekasirika tamu hivyo
Ahsante mpendwa, ila siwezi fika huko naamini...!Tofauti yako wew na wachawi ni moja tu, wao wana tunguri, wew sizani kama unazo.
Tafuta mwanasaikolojia akusaidie, hilo tatizo baya sana la kufurahia maumivu ya mwenzako.
Ombea usije deti na wanaume waliovurugwa, nasemaje utajipunguzia siku za kuishi....yaan tutakuita marehem soon
Haha,Hahahahah Aisee, Itabidi nikuazime huyu wa kwangu mcheze huo mchezo maana mnafanana tabia, akiona mnafuraha tu lazima alianzishe bila sababu ya maana.
Ukikua utaacha lakini
Hiyo mambo ndiyo ilisababisha niachane na mke wangu wa ndoa, anapenda ugomvi tu, yaani muda wote hataki uwe na amani.Guys,
Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.
Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.
Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.
Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Kweli kabisa, hata divorce certificate ninayo, tena nikaenda Rita kusajili talaka yangu kabisaBuji una hakika na hili lakini!??
Kwa kuwa inakupa raha, endelea nayoHivyo bwana mtaalamu unashauri suala liendelee?