Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
- Thread starter
- #361
Hahhaahaaaaa...nitakuombea tu , sasa kama hata bange unakula na ugali haya maombi mbona yatahitaji muda mrefu sana?
hahahahha lakini ile mboga ni tamu sana hata mimi nishakula
Mtumishi hata wewe.???
Jamani kanisa tuna maombi ya kufunga Mamtumishi kajaribiwa..!!