Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna demu nilikutana naye sehemu. Nikamuelewa tukabadilishana namba. Nikapanga siku nikutane naye sehemu tule, tunywe alafu tubadilishane mawazo. Cha ajabu akaja na rafiki yake. Walipofika tu, wanaanza kujilalamisha njaa. Nikawaambia agizeni mnachotaka. Nikajifanya nimepigiwa simu hivyo nahitaji kuongea na simu sehemu tulivu.Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali.
Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu, tukaelekea kwenye gari, alivyofika nikawasha gari nikachukua simu yake nikaizima! Sijui nini kiliendelea nyuma, ila yule manzi wangu alilaani sana kile kitendo na kusema hao rafiki zake hawataki hata kumuona!
Kuna mtu aliisha wahi kupata mkasa kama huu! Uliukabili vipi?
Kuna demu nilikutana naye sehemu. Nikamuelewa tukabadilishana namba. Nikapanga siku nikutane naye sehemu tule, tunywe alafu tubadilishane mawazo. Cha ajabu akaja na rafiki yake. Walipofika tu, wanaanza kujilalamisha njaa. Nikawaambia agizeni mnachotaka. Nikajifanya nimepigiwa simu hivyo nahitaji kuongea na simu sehemu tulivu.
Sikugeuka nyuma na sijui ni nini kiliwakita wote wawili
Kuna demu nilikutana naye sehemu. Nikamuelewa tukabadilishana namba. Nikapanga siku nikutane naye sehemu tule, tunywe alafu tubadilishane mawazo. Cha ajabu akaja na rafiki yake. Walipofika tu, wanaanza kujilalamisha njaa. Nikawaambia agizeni mnachotaka. Nikajifanya nimepigiwa simu hivyo nahitaji kuongea na simu sehemu tulivu.
Sikugeuka nyuma na sijui ni nini kiliwakita wote wawili
Ulichofanya ni cha maana sema na manzi nae ilibidi apate adhabu yake ili siku ingine asifanye huo upuuziBado utajukuta umetumia gharama kubwa zaidi mkuu! Ni kuachana nao kiroho sana huku wakikutana huko walipo!
Yeah,mi nakuita labda kuna vitu vya msingi tukaongeee wewe unabeba nyomi la watu kama unaenda kufumania???sasa unaniletea nyomi la watu ili iweje?Mkuu hata me yule manzi niliona hanifai nikatana nae mapema tu.
Wengine wanafundishwa kwa vitendo,haya Mambo ya kubeba lundo la marafiki ni ya kipuuzi sanaHio staili ya ukomeshaji sio nzuri aisee unamwambia tu ukweli huyo mtu wako kuwa hauko vizuri kama muelewa atakuelewa ila kama kichwa maji basi! Ila wa kujifunza atajifunza siku nyingine hatorudia! Pia mnaonekana tu by nature sio wa kujitoa kiivo na hali yenu kiuchumi pia ni tete vinywaji/vyakula kitu gani bana nususaa nyingi mtu anaenda msalani!! Kama unazo unatoa tu uzidi kubarikiwa zaidi!
Alafu baada ya hapo angekuomba tena hela nyingine......!!Hawa viumbe huwa wanafanya maamuzi ya ajabu sana mkuu! Yaani unateketeza pesa kwa mambo ya kipuuzi kabisa!
Tabia ya wewe kuitwa wewe Kama wewe halafu wewe unakuja na kikundi wewe mahondaw unaona Ni nzuri .Hio staili ya ukomeshaji sio nzuri aisee unamwambia tu ukweli huyo mtu wako kuwa hauko vizuri kama muelewa atakuelewa ila kama kichwa maji basi! Ila wa kujifunza atajifunza siku nyingine hatorudia! Pia mnaonekana tu by nature sio wa kujitoa kiivo na hali yenu kiuchumi pia ni tete vinywaji/vyakula kitu gani bana nususaa nyingi mtu anaenda msalani!! Kama unazo unatoa tu uzidi kubarikiwa zaidi!
Tabia ya wewe kuitwa wewe Kama wewe halafu wewe unakuja na kikundi wewe mahondaw unaona Ni nzuri .
Unaenda kukutana na mtu uliyenaye kwenye mahusiano halafu unabeba kikundi we unaona Ni njema .
Mwanamke alieitwa yeye kama yeye halafu akaja na kikundi huwa Ni mpuuzi tu dawa yake Ni waagize halafu unapotea kiana
Ni funzo kwao, sasa umeitwa peke yako unakuja na wapambe kibao....mtaongeaje mipango yenu sasa?Hukufanya vizuri, bora ungemuweka wazi manzi ako mkaona namna ya kusema either kuna emegensi au laa!
😅😅😅 mbona povu mkuu?Kutokujielewa tu na ukiona unafanyiwa hivyo jua kabisa we mwanaume haupendwi unachunwa tu
Mwanaume unayempenda unaanzaje kumfanyia hivyo