Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

😂Aaah kmk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo huoni kama kutakuwa na muda wa kupotea tenah]? Yaani tupoteze muda kwenye VAR halafu tena tupoteze muda na wachezaj kutoka nje kutema mate.

Joh unafeli wp?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
acha kutoa haja kubwa maana inaenda kuingiliana na mzunguko wa maji yetu ya asili

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
hahahaaaaaa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
hiyo hali huwa inatokea hata sijui kwanini,kama ulishacheza hata cha ndimu vigoli vidogo vya utotoni hiyo hali utakua umekutana nayo.
 
usisahau kuna wachezaj wanacheza nafasi za katikatik ya uwanja

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hata VAR ililipingwa, Mfumo wa vyama vingi Bongo ulipingwa ,n.k. Hii ndio nature ya binadamu kupinga mabadiliko kwa kitu alicholizoe hivyo sikushangai na hata wakati naandika hii mada nilijua reaction ya baadhi ya watu itakuwaje.
unataka wameze mate ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni fact!

The question is, why some sports, like tennis and basketball, penalise players for spitting, while football and rugby don’t?
 
akateme wap sasa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…