blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
At this Juncture..thread had to be closed..Mazoezi (any physical activity) huzalisha kiwango kikubwa cha protini kinachoingia kwenye mate, aina hii ya mate huitwa MUC5B. Hii husababisha mate kuwa mazito zaidi hivyo kuwa ngumu kumeza na option rahisi inakiwa kuyatema.
Ndugu mleta mada hii ni science sio kuwa wanapenda na ingekuwa haijakuwa proved scientifically basi kutokana na masuala ya hygiene tungekuwa tunaona wachezaji wakiadhibiwa kwa uchafuzi wa mazingira.
Hebu jaribu kesho kufanya hata jogging ya kilometer 5 ulete mrejesho.
👍👍📌📌