Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

Kwa mantiki hii mpira utachezwa kwa dk mia na hamsini kwa sababu mchezaji hawezi toka nje ya uwanja pasipo ruhusa ya refa kwenye zile dakika za kucheza..
Sasa kwa maono Yako haya kwaiyo Kila mchezaji akitaka kutema mate aombe ruhusa ndio akateme si itakua hatari sasa manake mchezaji anaweza tema mate katika muda wa dk tisini hata mara mia saba kwaiyo hizo zote zitakua ruhusa tu.
 
Kama workrate Yako ni kubwa uwanjani kwatulio cheza mpira kutemwa mate hakuepukiki balance ya kiwi mwilini hua kutema mate
 
[emoji23][emoji23]
 
Kuna wale wanapenga kamasi je?
 
Mfano ndiyo nimetenga mpira pale kwaajili ya penalti nimeshika kiuno huku natathmini namna ya kupiga nikisubiri filimbi natema mate kidogo hilo jambo huja bila kulipanga ukiweka sheria haiwezi kutekelezeka watu hujikuta tu wameshatema mate
Katika situation hiyo ya penalti naweza ku skip watu kidogo ili niende kutema mate?
Ni uchizi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza ww uliyeandika huu uzi ushawah cheza mpira maana sisi wenzako tunajuwa uchungu ukiwa pale ndani
 
Changudoa utamjua tu kwa kauli zake!
 
Tupo wengi kumbe tunaokereka na tabia hiyo mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…