Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

At this Juncture..thread had to be closed..
👍👍📌📌
 
Nani kakwambia mate ni uchafu?
 
Afanye jogging ya 5 kilometer huyu.... Labda apande bodaboda
 
Sio tu kucheza mpira, siku jitahidi hata kukimbia walau kilomita moja utaleta mrejesho hapa kwanini inakuwa hivyo

Vinginevyo endelea kupiga soga
 
Ungewahi cheza mpira usingeongea hivi
 
Kuna mchezaji mwanzo mwisho hatemi
Kuna mchezaji kila dakika ametema

Utemaji ni tabia inayojengwa ki mazoea tu!
Mi naamini kungekuwapo na uhamasishaji wa kutotema Hali ingepungua!

Kwa mfano lingewekwa bango uwanjani limeandikwa DO NOT SPIT IF NOT NECESSARY! Hali isingekuwa hivi ilivyo

Kutema mate si kitu kibaya, Ila KUTEMATEMA MATE haikubaliki!
 
Wateme darasani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…