Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Ukivaa chumbani hakuna atakayekubughudhi,

Ukivaa hadharani lazima niruke nawe,

Nisipokemea TABIA hizi, Binti yangu anaweza kupata mchumba shoga ikawa laanatul!!!
kanya funza mwanao acha wivu...
 
Ulianza vzr nkaona una hoja lakini sasa unaharibu vipensi vya kubana na juu ya magoti nakuunga mkono siomaadili ila kamptula ndefu ya bwanga haina tatizo

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Hizo kaptula ndefu zenye staha kidogo, hazivaliwi tena na wanaume wengi,

Wanavaa hivyo hivyo vichupi, Eti wanafuata fashion,

Hapo ndo tatizo lilipo.
 
Huyu jamaa ni mshamba na limbukeni inaonekana mjini kafika siku sio nyingi arudi kwao umatumbini akaendelee kunywa kahawa na wazee wenzie huku wamevaa misuli.
Dah kanifikirisha sana nadhani watu wanaomzunguka anaishi nao kwa shida sana kama kuvaa pensi kwake imekuwa shida wakati Kila kukicha tunaangalia wachezaji uwanjani wamevaa tena fupi zaidi na hakuna shida .
Kazi sana
 
Jamaa hajampamgia mtu maisha ila kaongea ukweli huwezi kuwa mwanaume unatoka kwako na kinjunga kaptula au vipensi vinabana eti dar joto hilo hilo joto wapo wanajistahi leo unaona joto kesho matako yakikuwasha utaona kujikuna na mkono itaumia unamuita mtu anakukuna na mti wa nyama kuna jamaa kasema anakwendanazzo bar si unarahisisha kuwekewa mzigo ukishalewa.

Skuhizi mashoga wanatetea haki zao hadharani soma comment utajifunza jambo
 
Mambo haya huanza Polepole,

Ulizuka mtindo wanaume kuvaa vindala vya kike,

Shetani aikome Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Nilienda Moro kijiji cha Matombo huwezi kuamini vijana walikua proud kuvaa sendo zile za kike
 
Wewe ni papai
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…