Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Ukivaa chumbani hakuna atakayekubughudhi,

Ukivaa hadharani lazima niruke nawe,

Nisipokemea TABIA hizi, Binti yangu anaweza kupata mchumba shoga ikawa laanatul!!!
kanya funza mwanao acha wivu...
 
Ulianza vzr nkaona una hoja lakini sasa unaharibu vipensi vya kubana na juu ya magoti nakuunga mkono siomaadili ila kamptula ndefu ya bwanga haina tatizo

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Hizo kaptula ndefu zenye staha kidogo, hazivaliwi tena na wanaume wengi,

Wanavaa hivyo hivyo vichupi, Eti wanafuata fashion,

Hapo ndo tatizo lilipo.
 
Huyu jamaa ni mshamba na limbukeni inaonekana mjini kafika siku sio nyingi arudi kwao umatumbini akaendelee kunywa kahawa na wazee wenzie huku wamevaa misuli.
Dah kanifikirisha sana nadhani watu wanaomzunguka anaishi nao kwa shida sana kama kuvaa pensi kwake imekuwa shida wakati Kila kukicha tunaangalia wachezaji uwanjani wamevaa tena fupi zaidi na hakuna shida .
Kazi sana
 
Jamaa hajampamgia mtu maisha ila kaongea ukweli huwezi kuwa mwanaume unatoka kwako na kinjunga kaptula au vipensi vinabana eti dar joto hilo hilo joto wapo wanajistahi leo unaona joto kesho matako yakikuwasha utaona kujikuna na mkono itaumia unamuita mtu anakukuna na mti wa nyama kuna jamaa kasema anakwendanazzo bar si unarahisisha kuwekewa mzigo ukishalewa.

Skuhizi mashoga wanatetea haki zao hadharani soma comment utajifunza jambo
 
Mambo haya huanza Polepole,

Ulizuka mtindo wanaume kuvaa vindala vya kike,

Shetani aikome Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Nilienda Moro kijiji cha Matombo huwezi kuamini vijana walikua proud kuvaa sendo zile za kike
 
Kwani,pens kwa mwanaume, na skin taiti kwa wanawake kipi cha ajabu? Unawaonea aibu!! Mambo yoooote,umeona yako sawa,kasoro kuvaa pens! Maadili gani huvunjwa mtu anapovaa pens!
Mbona wa Brazil wanavaa tu chupi na sidilia,wanatembea?! Mbona hujalalamikia mama na dada zako wanaocheza vigodolo! Hao ndo wapo sawa eh!!!
Wewe ni papai
IMG_20240124_203550.jpg
 
Tena vinabana ..unakuta Kaka ana kitako flan hivi[emoji3][emoji3][emoji3] kaweka na Wallet kama Jeneza.[emoji3][emoji3][emoji3]
Wanaume si kila Mbaba anatakiwa kuvaa Pensi...tunatiana aibu huku mitaani.
Siku hizi haya mavyakula kuna wanaume wamenza kuwa na vitako vitako vya ajabu ajabu sana aisee.
Ongeza na hizi Gym wanaenda waelekezaji badala ya kutoa mazoezi ya kiume,unakuta Mbaba anaendesha baiskeli ile kabinuka kiuno juu..what the hell uje umevaa na kipensi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom