Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Kuna pensi na vipensi Shem Bae

Unakuta Mwanaume kavaa kipensi kipo mapajani,kinambana, Makalio yamebanwa, kitu yake imebanwa, hadi fedheha.
Nyie si ndio mnapenda hivyo,isingekua mnapenda mmewaambia hawapendezi
 
Tangu niwe mkubwa watu pekee huona ugoko wangu ni madem zangu. Hata majirani zangu tulipanga pamoja hawaujui, maana hata nikitoka nje lazina niwe na suruali
 
Mwanaume unatakiwa uvae pensi kama zile za John Cena
images%20(13)%20(14).jpg
 
Mwanaume anaevaa pensi juu ya magoti na anaingia mtaani Huyo ni shoga alieona aibu kuvaa hereni

Ipo wazi.
 
Iwe mapema sasa, usilicheleweshe hili jambo🤣🤣
We andaa kaptura yako tu, week ya pili ya mwezi wa pili kitakuwa na maadhimisho ya kumkumbuka mtakatifu Valentino,,nadhani hutojali kutembelewa!
 
Waambie mkuu tena wengine wanasifiana kuwa Wana guu la kuvalia kinjunga,huku wakibana pumbu bila kujua wanaua kizazi kijacho.Yaani komando kipensi alituharibia Sana kizazi hiki.
 
Ila sometimes kweli. Ila daah cardet pensi ni unyama na sandals za clarks au Burberry.
images (24).jpeg
images (25).jpeg
 
Hujakosea! Ushawahi kuona mke wa mtu amevaa kipedo mapaja wazi?
Mwanamke mwenye akili timamu anatembea mapaja wazi haraka akili itafikiria anajiuza
Na ndio maana ukienda kimboka wanawake wanavaa mapaja wazi kuvutia wateja.

Mavazi humtambulisha mtu, ukiona nguo za bakabaka unajua mwanajeshi, koti jeupe daktari, kipensi makalio yamebanwa mapaja nje shoga, mwanamke mapaja wazi malaya
Hapana. Ephen

Nyinyi wazee wa Ku judge ndio mnahusisha hayo
 
Malaya ni malaya!
Kuna sifa za kuitwa malaya sio lazima uwe nazo zote ukiwa nazo hata 2 inatosha kukutambulisha
Kwani ukivaa nguo za kuacha mwili wazi ni malayaa? Maana ndio kinachoonekana hapa.
 
Back
Top Bottom