atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Huyo mkeo mmmh!.....Mbona pensi zipo nyingi tu tena za heshima. Ni vile siwezi kuweka picha zangu huku lakini mimi ni mpenzi sana wa pensi na nyingi kaninunulia mke wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mkeo mmmh!.....Mbona pensi zipo nyingi tu tena za heshima. Ni vile siwezi kuweka picha zangu huku lakini mimi ni mpenzi sana wa pensi na nyingi kaninunulia mke wangu
upungaAcha ushamba wewe. Mi suruali navaa nikiwa naingia mjini tu. Ila mtaani, bar au sehemu za karibu mapiga tishet na pensi. Kujibana siwezi aisee
Nyie si ndio mnapenda hivyo,isingekua mnapenda mmewaambia hawapendeziKuna pensi na vipensi Shem Bae
Unakuta Mwanaume kavaa kipensi kipo mapajani,kinambana, Makalio yamebanwa, kitu yake imebanwa, hadi fedheha.
Achana ni vitoto vya Kigoma vijijiniMaisha yakupangiana ni ya ajabu saana.
Tukiwaambia ukweli wanasema tunawaonea wivu eti hatuna miguu ya kuvalia pensi [emoji23][emoji2369]Dunia inaenda kasi sana wanaume nao wanavaa pensi na kusifiwa miguu kama pisi...
Kuuliza sio ujinga huyu ni mwanawe au demu wake?
Ukipita kariakoo huwezi ona hizi zikivaliwa,Mwanaume unatakiwa uvae pensi kama zile za John Cena View attachment 2885855
We andaa kaptura yako tu, week ya pili ya mwezi wa pili kitakuwa na maadhimisho ya kumkumbuka mtakatifu Valentino,,nadhani hutojali kutembelewa!Iwe mapema sasa, usilicheleweshe hili jambo🤣🤣
Komaaa. Hutaki kuvaa,acha. Hilo ndo tatizo kubwa unaloliona kuliko mengine kwenye jamii?Wewe ni papaiView attachment 2885822
SawaAchana ni vitoto vya Kigoma vijijini
Watu Wana generalize saaanaKisa kuvaa hivyo, angejua kuna mapunga wavaa suti hadi combat.
Wabongo sijui wakoje.
Hapana. EphenHujakosea! Ushawahi kuona mke wa mtu amevaa kipedo mapaja wazi?
Mwanamke mwenye akili timamu anatembea mapaja wazi haraka akili itafikiria anajiuza
Na ndio maana ukienda kimboka wanawake wanavaa mapaja wazi kuvutia wateja.
Mavazi humtambulisha mtu, ukiona nguo za bakabaka unajua mwanajeshi, koti jeupe daktari, kipensi makalio yamebanwa mapaja nje shoga, mwanamke mapaja wazi malaya
Kwani ukivaa nguo za kuacha mwili wazi ni malayaa? Maana ndio kinachoonekana hapa.Malaya ni malaya!
Kuna sifa za kuitwa malaya sio lazima uwe nazo zote ukiwa nazo hata 2 inatosha kukutambulisha
Bora anaeyevaa nguo za wazi ila sio malayaa.Ili swali naomba kurudisha kwako
Naweza kuwa yeyote hapo inategemea na muda, mazingira na tukio.Wewe ni mwanamke au Mwanaume?