kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kuiga ni ushamba, achana na tabia za kizungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani ulikuwepo? Tuanzie hapo kwanza.Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.
TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?
Yaani unakuta Mwanaume kavaa kipens juu ya magoti, kimebana nyeti zote, makalio yamejichoraaaa!!!
Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na MASHOGA.
NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.
Ni hayo tu!!
Mmmmmmh saiv wote ni mulemule alievaa kieshima na alievaa uchiuchi sijaona tofauti kilichobaki apa ni busara za mtu mwenyewBora anaeyevaa nguo za wazi ila sio malayaa.
Kumbe wapo tu evidence kidogoMkuu vipi na kwa wale wasukuma wa majimoto wanao vaa sketi,ungewaona nadhani usinge anzisha huu uzi wako
WANAWIVU WA KIJINGA SANA.wanaume wanaovaa hivi wanatafuta soko
Us*******enge mtupu mbwa hawawanaume wanaovaa hivi wanatafuta soko
Nilisafiri nao kwenye bus mmja akamwacha mwenzie akaja kukaa kwenye Siti yangu ,tumepiga piga stori kaniomba namba ,eti baadae Anataka nimkuleWengi ni mashoga wanaovaa hizo pensi ama vibukta,
Ungefumua tope tu mzeee🤣Nilisafiri nao kwenye bus mmja akamwacha mwenzie akaja kukaa kwenye Siti yangu ,tumepiga piga stori kaniomba namba ,eti baadae Anataka nimkule
Unajua Yale napensi yakungutia unga mapana Yale ndio tunatakiwa kuvaaila kuna wengine wanavaa tu ila vimguu vyao vinafikirisha
Acha Ujinga jikite kwenye mada.Badala ya kukemea tabia ya ufisadi na matumizi mabaya serikalini zinazoongeza shida na dhiki kwa watanzania.
Unakemea wanaume kuvaa pensi?
Akili za wapi hizi??
Sawa mm mjinga wewe wewe lipumbavu.Acha Ujinga jikite kwenye mada.
Umeona jukwaa la siasa hili?
Inahusiana nini na mada hii?Sawa mm mjinga wewe wewe lipumbavu.
Kwa hiyo wizi serikalini ni suala la kisiasa??
Wapangie unaowalisha mtu kama mm nakuona kenge tu.Inahusiana nini na mada hii?
Wanaume ni Bora tujiheshimu, mavazi ya kipuuzi yasiyo na staha yasivaliwe hadharani.
Vipi zamani walivyokuwa wakivaa magome ya miti??Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.
TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?
Yaani unakuta Mwanaume kavaa kipens juu ya magoti, kimebana nyeti zote, makalio yamejichoraaaa!!!
Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na MASHOGA.
NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.
Ni hayo tu!!
Vipi Bustani ya Eden walivyoishi bila nguo na wakaendelea kuwa hawana dhambi mbele za Mungu?Vipi zamani walivyokuwa wakivaa magome ya miti??
Millard Ayo anapenda kuzivaa kuna kipindi cha miaka ya 2000 ya kati zilitrend kinoma hata mie nakumbuka nilikuwa nazo kadhaa.Ni cadet kama zile huwa wanavaa watalii zenye mifuko mingi zile. Nilipokuwa mdogo nilikuwa mdokozi mzuri sana wa karanga huko kijijini. Mamifuko hayo huwa yananikumbusha kama ndiyo nimezifuma karanga mahali zimeanikwa nijazemo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kaptula decent, pana and they are not cheap hasa ukitaka zenyewe orijino!