Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Mkuu vipi na kwa wale wasukuma wa majimoto wanao vaa sketi,ungewaona nadhani usinge anzisha huu uzi wako
 
Salaam,Shalom!!

Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,

Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.

TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?

Yaani unakuta Mwanaume kavaa kipens juu ya magoti, kimebana nyeti zote, makalio yamejichoraaaa!!!

Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na MASHOGA.

NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.

Ni hayo tu!!
Zamani ulikuwepo? Tuanzie hapo kwanza.
 
Kuna siku nakatiza mitaa flani, basi nikaona watu kwa mbali wamekaa.

Mmoja nikamwona ana bonge la paja jeupeeee, hadi nikasisimka.

Kufika karibu yao kumbe jamaa kiumeni, nilimtukana kimoyomoyo yule jamaa
 
Badala ya kukemea tabia ya ufisadi na matumizi mabaya serikalini zinazoongeza shida na dhiki kwa watanzania.
Unakemea wanaume kuvaa pensi?
Akili za wapi hizi??
 
Badala ya kukemea tabia ya ufisadi na matumizi mabaya serikalini zinazoongeza shida na dhiki kwa watanzania.
Unakemea wanaume kuvaa pensi?
Akili za wapi hizi??
Acha Ujinga jikite kwenye mada.

Umeona jukwaa la siasa hili?
 
Sawa mm mjinga wewe wewe lipumbavu.
Kwa hiyo wizi serikalini ni suala la kisiasa??
Inahusiana nini na mada hii?

Wanaume ni Bora tujiheshimu, mavazi ya kipuuzi yasiyo na staha yasivaliwe hadharani.
 
Salaam,Shalom!!

Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,

Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.

TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?

Yaani unakuta Mwanaume kavaa kipens juu ya magoti, kimebana nyeti zote, makalio yamejichoraaaa!!!

Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na MASHOGA.

NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.

Ni hayo tu!!
Vipi zamani walivyokuwa wakivaa magome ya miti??
 
Vipi zamani walivyokuwa wakivaa magome ya miti??
Vipi Bustani ya Eden walivyoishi bila nguo na wakaendelea kuwa hawana dhambi mbele za Mungu?

TUMIA akili vizuri kupambanua mambo.
 
Ni cadet kama zile huwa wanavaa watalii zenye mifuko mingi zile. Nilipokuwa mdogo nilikuwa mdokozi mzuri sana wa karanga huko kijijini. Mamifuko hayo huwa yananikumbusha kama ndiyo nimezifuma karanga mahali zimeanikwa nijazemo [emoji16][emoji16][emoji16]

Ni kaptula decent, pana and they are not cheap hasa ukitaka zenyewe orijino!
Millard Ayo anapenda kuzivaa kuna kipindi cha miaka ya 2000 ya kati zilitrend kinoma hata mie nakumbuka nilikuwa nazo kadhaa.
 
Back
Top Bottom