Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Hizi ndio pensi zangu sasa, napiga sana hizi. Nadhani mleta mada anaongelea zile penzi za rangi rangi zile za kina Noel zile hizo kweli miyeyusho sana hizo
Mambo haya huanza Polepole,

Ulizuka mtindo wanaume kuvaa vindala vya kike,

Shetani aikome Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
 
Kuna kaptula na kaboka/pensi-nyanya.
Screenshot_20240127-193017_Chrome.jpg
Screenshot_20240127-193038_Chrome.jpg
 
Kwani,pens kwa mwanaume, na skin taiti kwa wanawake kipi cha ajabu? Unawaonea aibu!! Mambo yoooote,umeona yako sawa,kasoro kuvaa pens! Maadili gani huvunjwa mtu anapovaa pens!
Mbona wa Brazil wanavaa tu chupi na sidilia,wanatembea?! Mbona hujalalamikia mama na dada zako wanaocheza vigodolo! Hao ndo wapo sawa eh!!!
 
Naongea na wanaume wenzangu Watanzania.

TABIA hii ya kuvaa vipensi ni ukosefu wa Maadili.

Hapa Si Brazil ni Tanzania.

Acha TABIA hiyo mara Moja ujitofautishe na Mashoga.
 
Naongea na wanaume wenzangu Watanzania.

TABIA hii ya kuvaa vipensi ni ukosefu wa Maadili.

Hapa Si Brazil ni Tanzania.

Acha TABIA hiyo mara Moja ujitofautishe na Mashoga.
Sawa,Brazil tuiache. Kosa la kuvaa pens ni lipi? Kwa wanawake,mnasemaga viungo vyao vinatamanisha wanaume. Ila,wanawake sidhani kama wanaweza kutamani mwanaume kwa kuona miguu yake. Elezea tujue
 
Back
Top Bottom