Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Mwanaume hawezi mtamani Mwanaume mwenzie?Sawa,Brazil tuiache. Kosa la kuvaa pens ni lipi? Kwa wanawake,mnasemaga viungo vyao vinatamanisha wanaume. Ila,wanawake sidhani kama wanaweza kutamani mwanaume kwa kuona miguu yake. Elezea tujue
Hata pens,Unavijua vinjunga mkuu? Bora pensi
Haina mbili hii,KINJUGA KUVAA MWANAUME NA KUTOKA ROAD NI USHONGA
NO DISCUSION..
Dunia inavalishwa sketi jamani!!Tena vinabana ..unakuta Kaka ana kitako flan hivi😀😀😀 kaweka ba Wallet kama Jeneza.😀😀😀
Wanaume si kila Mbaba anatakiwa kuvaa Pensi...tunatiana aibu huku mitaani.
Siku hizi haya mavyakula kuna wanaume wamenza kuwa na vitako vitako vya ajabu ajabu sana aisee.
Ongeza na hizi Gym wanaenda waelekezaji badala ya kutoa mazoezi ya kiume,unakuta Mbaba anaendesha baiskeli ile kabinuka kiuno juu..what the hell uje uvaa na kipensi.
Unasifiwa na akinamama sio?Vipi Wamasai wanaojitanda shuka mbili lakini tako bado liko wazi; na anakatisha mtaani tu bila wasiwasi?
Mimi navaa kaptula nzuri za kishua nafunga na mkanda. Na huwa nasifiwa na akina mama kuwa napendeza sana pamoja na uzee wangu wa miaka 77.
Fanya ukipendacho ali mradi huvunji sheria vinginevyo ukitaka kumfurahisha kila mtu utapata tabu sana nyandone 😁
Wamaasai hawavai nguo za ndani, sio kwamba hawajifunikiVipi Wamasai wanaojitanda shuka mbili lakini tako bado liko wazi; na anakatisha mtaani tu bila wasiwasi?
Mimi navaa kaptula nzuri za kishua nafunga na mkanda. Na huwa nasifiwa na akina mama kuwa napendeza sana pamoja na uzee wangu wa miaka 77.
Fanya ukipendacho ali mradi huvunji sheria vinginevyo ukitaka kumfurahisha kila mtu utapata tabu sana nyandone 😁
Juu ya magoti ni tatizo aiseeHAjakataza kuvaa pensi ila kasema juu ya magoti!!!!!!!!!
Ili mjitofautishe na Mashoga.View attachment 2884786
Mbona pensi zipo nyingi tu tena za heshima. Ni vile siwezi kuweka picha zangu huku lakini mimi ni mpenzi sana wa pensi na nyingi kaninunulia mke wanguUtovu wa Maadili huo.
Acheni kuiga Kila mkionacho machoni,
Huo unaouita ujanja ndo unasababisha vitendo vya USHOGA kushamiri katika JAMII.
Una inferior complexity.Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.
TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?
Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na Mashoga.
Ni hayo tu!!
Tatizo hili kumbe ni kubwa sana!!nyingi kaninunulia mke wangu
Ni cadet kama zile huwa wanavaa watalii zenye mifuko mingi zile. Nilipokuwa mdogo nilikuwa mdokozi mzuri sana wa karanga huko kijijini. Mamifuko hayo huwa yananikumbusha kama ndiyo nimezifuma karanga mahali zimeanikwa nijazemo 😁😁😁Wamaasai hawavai nguo za ndani, sio kwamba hawajifuniki
Hizo kaptula zako zinabana? Kama hazibani basi sio vibaya
Mkuu jifunze kutofautisha pensi na vikaptula. Aisee mi ni mpenzi sana wa pensi na hapa nilipo nimekula pensi yangu na tusheti nipo kaunta nakula Serengeti lager zangu mdogo mdogo.Tatizo hili kumbe ni kubwa sana!!
Mimi sitofautishi.Mkuu jifunze kutofautisha pensi na vikaptula. Aisee mi ni mpenzi sana wa pensi na hapa nilipo nimekula pensi yangu na tusheti nipo kaunta nakula Serengeti lager zangu mdogo mdogo.
Mada yako ingekuwa na mashiko kama ungesema vikaptula vya juu ya magoti vya kubana
Mavazi ya heshima ni yapi? Na babu zako unajua walivaa nn? Ninyi watu brainwashed mnashida ya kunajisi kila kitu mnataka kupangia watu lifestyle, endeleeni na mnayoyaona ninyi kwenu ni sahihi na sio kubeza visivyowahusuUtovu wa Maadili huo.
Acheni kuiga Kila mkionacho machoni,
Huo unaouita ujanja ndo unasababisha vitendo vya USHOGA kushamiri katika JAMII.
UKWELI Huwa mchungu always.We mpumbavu kweli, kila mahala na utamaduni wake usiforce utamadun wenu kwa wengine uwe mzuri, hata ivyo ilitakiwa tuwe tunatembea nusu uchi yaani ama na boksa tu na wanawake wakificha vichupi tu maana ndivyo mlivyokutwa kabla ya kuletewa mavazi, hapo ulipo ukiulizwa vazi la heshima ni lipi utaishia kutaja kanzu,maushungi, na hayo masuti&kadeti mavazi ambayo nayo ni tamaduni za kuletewa.
Ungekuwa na akili ungekataza watu tusivae mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiafrika, ambayo baadhi ni hizo takataka mnazozitukuza kuwa za heshima