Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Salaam,Shalom!!

Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,

Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.

TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?

Yaani unakuta Mwanaume kavaa kipens juu ya magoti, kimebana nyeti zote, makalio yamejichoraaaa!!!

Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na MASHOGA.

NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.

Ni hayo tu!!
Oya, usitupangie mavazi mwanangu, pita hivi..i..
 
Kwahiyo wavae kanzu na makobazi.....eeeh 🤣🤣🤣🤣
NB: MBONA HAWA JAMAA WANAVAA KANZU ZINAWASTIRI MPAKA VIDOLE NA NI MASHOGA......UTASEMAJE HAPA
Screenshot_20231103-133349_1.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣 MJUNI ACHA KUTUZINGUA WA MUKA......UGUMILE????
Hahahahahaaaa!

Maana watu wanaogopa sana ushoga.

Kuna watu ni waheshimiwa sana, learned, very smart and disciplined. Ila siku za kurefresh wanavaa vikaptula, kuwa accuse kwmb ni mashoga ni utovu wa nidhamu.
 
Ila ni aibu sana kwa kweli baba zima kuvaa kikaptura kweli watu aibu hawana mimi kaptura tu hata kama ni size ya ugoko siwezi kuvàa
 
Back
Top Bottom