Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

😊😊Kondoo wa sasahivi hawapendi kukaa na Mchungaji wao muda mrefu tofauti na Kondoo wa Kipindi hicho!!!πŸ˜€πŸ˜€
 
Jamn toa ili kesho usipewe neno chungu1πŸ˜‚
 
matokeo yake mchungaji akimaliza neno utaona idadi kubwa ya waumini wanaondoka kabla ya Ibada kuisha, hii sio ishara nzuri sana, kama kanisa inabidi kutafakari hili kwa kina
Kwani si neno limeisha au mpo sokoni?
 
Ibada ya katoriki
Misa ya kwanza saa 12 :00
Saa 11:45 sala za asubuh na maungamo
12:00 padri kasha anzisha misa iyooo mpka saa mbiki kasoro misa imeisha unarudi nyumbani kunywa chai na kulala padri hana matangazo ya kukazia labda kama kuna ugeni na kama kuna ugeni kutoka redio maria inatangazwa juma pili moja kabla ya wageni kufika
 
🀣Mniombee kwamba Nina mapepo
πŸ˜‚ Wewe mpumbavuu umenikumbusha story fulani!

Kuna jamaa angu mmoja ni Mtumishi, aliitwa kwenye ushirika fulani mkoa fulani kufanya semina ya wiki nzima!

Sasa alifika hapo kwenye ushirika saa 5 kama 6 usiku maana safari ilikuwa ndefu kutokea Dar!

Sasa pale ushirikani hiyo siku palikuwa na mkesha! Akaona ngoja niende nikahudhurie mkesha kidogo afu ndo nikampuzike!

Katika ya mkesha maana alikuwa amekaa huku kwenye washirika! Akawa anasinzia Ile anasinzia anashutka!

Kumbe ilikuwa ni katika ya maombi! Kile kikosi kazi sijui kilitokea wapi kikambeba wakihisi jamaa ana mapepo πŸ˜‚

Si akaanza kugoma anasema "Niachieniiiii Sina mapepooo"

Wazee wakasema umeona mapepo yanaameanza ubishi na ndo wakazidi kumbeba vizuri πŸ˜‚

Jamaa akasema nilivyoona jamaa hawanielewei ili nibidi niwe Mpole tu

Akabeba mpk mbele. .. asubuhi watu wanashangaa ndio muhubiri na akapawa pongezi kikosi kazi πŸ˜‚

Ko wewe bisha tu
 
Matumizi ya muda kwetu sisi watanzania ni tatizo sugu. Na ubaya linaanzia huko πŸ‘†
 
Hii ni hatariii, si mchezo!
 
Nime cheka sana walahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Ishu ni kwamba wana washirika wengi sana kiasi kwamba mchungaji hajui washirika wake zaidi ya wale wa meza kuu tu. Kingine waumini wamezoea mafundisho manyonge ya kiliturijia, hayo hayo tu nchi nzima mstari unasomwa ni mmoja tu. Wachungaji wao wako hoi kiroho ndio maana wanakimbiwa na washarika wao
 
Mnada ni jana ila myama zimebaki nyingi sana, wine tutasaga zabibu inakuwa divai kama tunashiriki meza ya bwana
Hahaha ... Dodoma mnadaniii

Nilikuwa nikifika hapo, nanaanza na utumbo na maini afu ndo nyamaa!

I just missed that place!

Wine nzuri ni ile ingine, afu unajua hata hii tunayoshiriki meza ya Bwana ukinywa nyingi unapata vibe!

Labda Ile ya wasabato wanatengeneza Leo kesho wanashiriki
 
Mkuu wewe ni mtu wa Altare tuu lazima!!πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio mpaka unywe, harufu tu vibe kama lote.
Hiyo ya Wasabato ndiyo ninayoimaanisha
 
Sio mpaka unywe, harufu tu vibe kama lote.
Hiyo ya Wasabato ndiyo ninayoimaanisha
Hahaha wewe ni mdau eeh,?

Nina jamaa angu kwenye kushiriki anasemaga Mimi nataka Ile ya kwenye kikombe kikubwa nikapige fumba mojaaaaaa matata

Ili nibane bajeti ... Ya wasabato siitakii!

Kwa Hali niliyo nayo hiyo ya wasabato hainifai
 
Wote tunajua lengo kuu la ibada ni Kusifu, kuabudu na kupata chakula cha kiroho (Neno la Mungu)
Ibada kuwa ndefu sio tatizo ,ila inategemea ime base upande gani
Mleta mada analalamikia tabia ya wachungaji kurudia rudia matangazo kama vile waumini ni watoto wadogo wanasahau sahau, nawe unarudia rudia kuandika kilichoandikwa kama vile sisi wasomaji hatujui kusoma vizuri?
 
Ibada ndefu halafu mtoke nje ya kanisa kwa mstari muanze kupeana mikono. Baada ya hapa vinaletwa vitu, ndizi, maparachichi inafanyika mnada. Loh inachosha kwa kweli
Hiyo ya mnada mimi ndio naonaga ni kama wizi flani katoriki ata ukileta kuku hawauzi zaidi wanaweza mfuga akatoto wengine kuku mchele utaenda kwenye nyumba ya mapdre sasa wao wanataka pesa then pesa ile ile wanaenda kununua mchele uleule alio uza jana
 
Mkuu kama umenisemea mimi leo
Nimeingia ibada ya kwanza kwakweli nimetoka baada ya neno kuisha woiii mambo ni mengi sana saa tano kasoro ibada ya kwanza haijaisha

Ila zamani tupo wadogo jamaniii ibada ya kwanza inaisha saa tatu sasa hivi sijui inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…