Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

Ililetwaga hapa uzi wa makabila yenye tabia mbovu mkachanua kweli
 
Sidhani kama una hoja ya msingi. Wazazi hawakusudii mabaya kwako. Ila wewe unaupigia chapuo uzinzi na uasi. Eti umesota nae ndio uende ukapose/ aje akakupose. Aliyewapa ruhusa ya kusota pamoja kabla kuoana ni nani kama sio uzinzi na uasi? Andiko lako ni la kupotosha wanaochipukia kwa kuwa halina hata chembe ya uadilifu. Bali ni migogoro na uasi. Eti akutie mimba ili wazazi wasizuie. Shame on you
 
We nae wanaume wote dunia hii ndiyo uolewe na mgogo ?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahah kuna jamaa aliacha akaoa upya! Mwanamke alikuwa sala 5 yani jamaa bishop kuvaa vaa vipensi mwanamke akawa mtu wa risala tu! Mwishowe jamaa aliotea kigoli akakitia unyago kisha akakioa baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa!
Huyu mmoja alimuachia mke nyumba alipata form six fresh from school alianza nae maisha. Alisamehe na ghorofa alilojenga na my wife wake wa kwanza.
 
Issue simple tu hapo, familia yako ndio inatatizo. Why wachague chague wakati sisi wote ni Watanzania?
 
Kwani wazazi ndio wanaomuoa/kuolewa na huyo mchumba?

Ifike mahali vijana mjitambue namsimamie kile mnachokitaka sio mpaka uamuliwe na wazazi
 
Huko ni kupigania penzi, hakuna cha ajabu..... Wakishindwa kuelewa mimba inafata wataelewa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba kuna wanaume na kuna wagogo
Yaani kazunguka kote kaja kuangukia kwa mgogo ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…