Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dogo kamanda sana huyo, hahahaha msamehe bana damu yako huyo, uje umkumbushe mabalaa yake akifika miaka ya ujana.We acha mkuu, mi nina mdogo wango ana miaka 5, atakuja kuniua, juzi juzi kanitegea sindano kama 6 kitandani kwangu, mpaka leo nazisikia majeraha yake mgongoni.