Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una gubu Sana mtani
Huyu timu yake ikishinda tu basi mtatafuta kwa kujificha. Maana huwa anakera mpaka anapitiliza. Cha kushangaza hiyo timu ikifungwa, anajificha uvunguni mwa kitanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…