Daudi Salu
New Member
- Jan 29, 2024
- 1
- 0
Mkuu kwa story ilivyo sijui kama kajiua kweli only Allah knows better
South Africa timu Yao imejaa wazungu wanapiga kelele haiwezekani wajukuu wa wakoloni waliotesa Babu zao Leo wajae kwenye timu zao.Una chuki mbaya sana kwa waarabu, sijui walikufanya nini! Waarabu tunao na tunaishi nao vizuri bila shida yoyote, tunawapenda, wao pia wanatupenda, kama unaishi dar jiji la waislamu na unakereka basi hama, aleyommba gekke nkoi endelea hamagga
Babu Rama seems kifo chake kina utata. Unaidaije serikali mabilioni kisha unapata stress na kujiua?Wazir mkuu Majaliwa, nakumbuka uliagizwa, na marehemu Rais John Pombe Magufuli ili uhakikishe kuwa, mfanyabiashara Babu Rama analipwa pesa zake karibu billion hivi, ambazo alizulumiwa na wafanyakazi wa, TRA wasio waaminifu. Leo ni takribani miaka mitatu, toka Rais JPM afariki na ww ukasaria kuwa wazir mkuu. Lakin umeshindwa kuhakikisha kuwa huyu mfanyabiashara Rama analipwa pesa zake. Na sasa huyu mfanyabiashara amejiua na haki yake hakupata. Je wazir mkuu wetu unajisikiaje??Je ni sawa???
Mimi huamini habari zako. Hebu nipe mwangaza kwa uliyoyapata, please!Hii wiki niliitumia kufuatilia madai ya Babu Rama kutokea mwanzo hadi mwisho. Niwe mkweli nimeumia sana.
Kupitia mahojiano yake, alionekana kuwa makini sana kuulinda uhai wake. Nimepata wakati mgumu kwa aina ya mauti yaliyomkuta.
Sina la zaidi ya kumuombea kheri aliko, apumzike kwa amani.
Kwa wafanyabiashara wanaweza kuelewa msongo wa mawazo ambao Babu Rama alikuwa akipitia kwa huo muda mrefu kutokana na mwenendo wa biashara.Babu Rama seems kifo chake kina utata. Unaidaije serikali mabilioni kisha unapata stress na kujiua?
Wataalam wa saikolojia mtueleze hii inakuwaje hii
Tz hakuna waandishi,waandishi sahv habari zao ni za udaku,simba yangaYaliyotokea tungejua chanzo kama tuna waandishi wanaojituma na kufuatilia ila ni waandishi njaa na waongo wasiojua hata kuandika habari
Kuna gazeti lilikurupuka na kuandika kuwa kajipiga risasi dukani kwake
Paragraph ya pili na habari hiyo hiyo wakaandika kajipiga akiwa nyumbani kwake
Tatizo wanataka kutoa taarifa kuwashinda polisi
Yaani bila kuwa na ndugu wa karibu au kusubiri mpaka mnapata ukweli hamuwezi ila kwa unoko hamjambo
Gharama ya kwenda Tabora ni ndogo sana kwa waandishi ila sijui huwa wanawapigia boda na kuwauliza kumetokea nini huko
Kweli kabisa mkuuTz hakuna waandishi,waandishi sahv habari zao ni za udaku,simba yanga
Kumfatilia mondi kiba na ujingujing
Ova
Bado haujaweza kuiweka hali yake kwenye msongo wa kujiuaKwa wafanyabiashara wanaweza kuelewa msongo wa mawazo ambao Babu Rama alikuwa akipitia kwa huo muda mrefu kutokana na mwenendo wa biashara.
Kikubwa hapo si deni analowadai TRA, kwani hao mabwana hata wakikubali kukulipa hiyo fidia, itakuwa ya mtindo wa msamaha wa kodi wa thamani ya kiasi hicho cha pesa.
Biashara hadi kuwa kubwa kama hiyo ya Babu Rama huwa ina mambo mengi, hasa hizi za kuagiza nje bidhaa au malighafi.
Fikiria bidhaa iliyokuwa ununue jana kwa milioni 900, halafu leo ukakuta dola imepanda kwa shilingi 50, maana yake ni lazima uongeze leo leo ili upate bidhaa.
Hivyo, kupanda kwa thamani ya dola kunaweza kukuzalishia madeni ya dhamana ya mali zako. Kwani hakuna muda mrefu wa kusubiri upate hela ya kuongezea.
Lakini, kinachoweza kukupa ujasiri wa kuyaingia hayo madeni ni uwezo wa biashara yako na uzoefu wako katika biashara husika. Kama ikienda kama kawaida madeni yanalipika na faida unapata.
Sasa inapotokea biashara yako hiyo ikaharibiwa kwa kiwango kama cha Babu Rama (900M), ni lazima uingie kwenye migogoro ya madeni makubwa
Na siku zote mgogoro wa madeni hufanya ufikie kupoteza mali zako za thamani kubwa kwa hela kidogo sana uliyokopa na ikapotea. So, unauelekea umasikini.
Kuna ugumu mkubwa wa kuikabili hali hiyo, ni wachache sana walifaulu. Wengi walipata maradhi ya kupooza kama marehemu RG wengine kufa kwa sonona.
Ova
Huu utawala wa JPM unatenda mabaya sanaNgoja kwanza
Wewe uliiamini hiyo taarifa mkuu kuwa kajipiga risasi wacha niishie hapa ....HAIWEZEKANI UFE KWA STYLE HYO TENA UNA CHA MOTO,ANGEWAFUATA HUKO HUKO HAO WAZULAMAJI TRA WAFE NAO IKIWEZEKANA PIGAMOTO OFISI YOTE YA TRA KIGAIDI PAMOJA NAO NDANI NA IWE FUNDISHO KWA HAO MANYANGAU.PUMBAVUU KABISA.
Makovu ya kudhulumu au kudhulumiwa?Mwendazake aliharibu sana biashara za watu..wengi wamebaki na makovu