bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Pesa ndogo sana hio labda kama ana lake jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kalalamika ikulu,kalalamika kwa waziri mkuu kalalamika kwenye vyombo vya sheriaNimefanikiwa kumsikiliza huyu mfanyabiashara akielezea namna ambavyo sakata lake limeanza mpaka mwisho,
Kuna watu katika taasisi za umma ni wakatili sana,na sheria kali ndio dawa pekee,wengine ni kunyonga ili kila mmoja na amheshimu mwingine,
Nimewahi kusikia pia kati ya hao wafanyabiashara wakubwa ukiingiza mali inayoshabihiana na biashara zao ama kushindana na bidhaa zao watafanya kila namna ili wakupoteze kwenye ramani ya biashara,sijui kama lina ukweli!!
Nimepatwa na ghadhabu sana,nimeandika zaidi ya mara mbili
Kafa kinyonge kweliHata Mimi ndio nilikuwa nawaza hivyo hivyo kwanini ajiue peke yake ?
Yaani Meneja na Meneja wa Kodi unawaomba kikao tena unawaambia kabisa tuje tuyaweke sawa hapo ofisini kwenu. Mnakaa wote meeting room unaanza kuwashona risasi za vichwa wote na Wewe unajimaliza tu. Amekufa Kinyonge sana huyu Jamaa.
Acha utoto...fala wewePesa ndogo sana hio
Aisee ningekuwa Mimi ningeondoka na roho nyingi sana hao TRA kwa sababu hawajui ni namna gani jinsi watu wanavyojutuma, kujitafuta halafu mpaka wanafanikiwa kimaisha wao wanakuja kubambika mikodi. Mimi ningeenda nao Safari moja tu aiseeKafa kinyonge kweli
Bora angewafanyia hao mamemeneja wa kodi na watu wa tiaraei
Ova
Mzee wa waarabu wa palestina......naona umekasirika kawataja waarabu.Acha chuki na roho mbaya, ukiwa na chuki hata mambo yako hayaendi, halafu mwenye chuki hata sura yake inachange, jichunguze
Kwann ujinga wake uwagharimu wengineHata Mimi ndio nilikuwa nawaza hivyo hivyo kwanini ajiue peke yake ?
Yaani Meneja na Meneja wa Kodi unawaomba kikao tena unawaambia kabisa tuje tuyaweke sawa hapo ofisini kwenu. Mnakaa wote meeting room unaanza kuwashona risasi za vichwa wote na Wewe unajimaliza tu. Amekufa Kinyonge sana huyu Jamaa.
TRA ni wasengelemaaa sana na Vijana wengi huwa wanawaza ukifanya kazi pale Wewe tayari umeshaukata na ndio maana wanapenda sana rushwaKwann ujinga wake uwagharimu wengine
Ukijiua kisasi hakifanyi kaziKwe
Kwenye dunia yetu ya giza ,kulipa siyo kulipa in cash ila watalipa kwa kuondoka mmoja mmoja kwa yeyote aliyehusika.
Watu wanakubambikia mikodi ya uongo na Wewe unakuta una nilipo mingi yaani ile hela wanayoiona kwenye mauzo ya bidhaa au kwenye account za benki wao huwa wanajua ni ya kwako ma ndio maana huwa wanafanya haya mambo.Kujiua ni kiwango cha juu sana chq ubinafsi na ukatili
Unaishi nao tu mbona watamu,nchi hii usijifanye mjuaji police na tra watakuwa rafiki zakoTRA ni wasengelemaaa sana na Vijana wengi huwa wanawaza ukifanya kazi pale Wewe tayari umeshaukata na ndio maana wanapenda sana rushwa
Usigome kuliwa ili ule.Watu wanakubambikia mikodi ya uongo na Wewe unakuta una nilipo mingi yaani ile hela wanayoiona kwenye mauzo ya bidhaa au kwenye account za benki wao huwa wanajua ni ya kwako ma ndio maana huwa wanafanya haya mambo.
Angetafuta begi lake safi anaweka vitunguu ndani,akifika mjengoni anaondoka naoMtu kalalamika ikulu,kalalamika kwa waziri mkuu kalalamika kwenye vyombo vya sheria
Lakini kote huko hakuna msaada aliyopewa
Nchii hii kiboko
Ova
Hapa umefikiria tofauti kwa suala la huyo mfanya biashara.Mwendazake aliharibu sana biashara za watu..wengi wamebaki na makovu