Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

Eti waarabu wako Karne na Karne mjinga wewe !

Hao walikuja na mashua.

East Africa Haina yote ni weusi.

Basi mkuu kama wewe ni kidume kweli wafukuze, kama hujarudi roma kwa yule aliebariki ushoga
 
Maneno yako hayana hekma wala busara ndani yake, ni chuki zimekujaa ndani ya kifua chako dhidi ya waliobarikiwa

Tangu ulivyokaririshwa chuki na ubaguzi huko kanisani au mashuleni dhidi ya waarabu/Uisilamu umefaidika na nini! Wengi wenu hata maendeleo hakuna mmeendekeza chuki, pole sana. Allah akuongoze.
 
Mbona manji enzi za magufuli alikimbia!

Nyie hapa ni wwkimbizi jua Hilo siku yoyote mnarudi kwenu

Una chuki mbaya sana kwa waarabu, sijui walikufanya nini! Waarabu tunao na tunaishi nao vizuri bila shida yoyote, tunawapenda, wao pia wanatupenda, kama unaishi dar jiji la waislamu na unakereka basi hama, aleyommba gekke nkoi endelea hamagga
 
Halafu kuna mtu ananisistiza nitafute ela yaani kila ninachomwambia ananambia nitafute ela,,,ela zenyewe ndio hizo!!

Awaapi acha tu nife madikini
 
HAIWEZEKANI UFE KWA STYLE HYO TENA UNA CHA MOTO,ANGEWAFUATA HUKO HUKO HAO WAZULAMAJI TRA WAFE NAO IKIWEZEKANA PIGAMOTO OFISI YOTE YA TRA KIGAIDI PAMOJA NAO NDANI NA IWE FUNDISHO KWA HAO MANYANGAU.PUMBAVUU KABISA.
Hamza
 
Mwogope Mungu
 
Nitakosaje chuki na nyie mlitesa Babu zetu.

Haitoshi huyu marehemu aliefariki pale kariakoo maaduo zake wakubwa walikuwa waarabu.
 
Halafu kuna mtu ananisistiza nitafute ela yaani kila ninachomwambia ananambia nitafute ela,,,ela zenyewe ndio hizo!!

Awaapi acha tu nife madikini
Pesa ni mtihani sheikh 😃 lakini ukiitafuta kwa njia ya halali na ukaitumia kwa halali unaishi vizuri tu, huyo sijui alipatwa nini tu, unajiuwa halafu unawaacha maadui wanaendelea kutamba 😃
 
Huyu sakata lake liliqnza tokea enzi za magu,sasa sijyi rais wakati ule alikuwa hajapata taarifa zake

Ova
 
Hao Waarabu ni wa Unyamwezini walikuja enzi za Milambo na Isike utawaambia nini?
Kuna waarabu kariakoo walikuwa wanamsumbua huyo mtanzania tafuta clip zake YouTube.

Marehemu alisema live na aliwataja hao waarabu na familia Yao.

Wewe unaweza kwenda nchi yoyote ya waarabu au wazungu ukatesa wenyeji?
 
Kwenye Biashara kuna mbinu nyingi lakini maadui wakubwa wa Wafanyabiasha ni Maafsa wala rushwa na wabambikaji wa Kodi wakikuona uko Upinzani.
 
Kwenye Biashara kuna mbinu nyingi lakini maadui wakubwa wa Wafanyabiasha ni Maafsa wala rushwa na wabambikaji wa Kodi wakikuona uko Upinzani.
Fuatilia hii issue vizuri acha kuongea usiyojua,

Kuna waarabu pale kariakoo ndio walikuwa wanamsumbua marehemu clip zipo YouTube katafute
 
Duniani hamna haki, hata mahakamani watu wanapoamini ndo kuna haki siyo kweli, unaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa ambalo hujafanya na jamii ikaaminishwa umefanya na ikaamini , ukabaki wewe tu na nafsi yako ndo unajua ukweli.

Marehem amedhulumiwa na bahati mbaya haki yake ilikua hamna nmna anaweza kuipata tena kupitia vyombo vinavyosimamia sheria.
 
Pesa ni mtihani sheikh [emoji2] lakini ukiitafuta kwa njia ya halali na ukaitumia kwa halali unaishi vizuri tu, huyo sijui alipatwa nini tu, unajiuwa halafu unawaacha maadui wanaendelea kutamba [emoji2]
Mkuu kwa story ilivyo sijui kama kajiua kweli only Allah knows better
 
Fuatilia hii issue vizuri acha kuongea usiyojua,

Kuna waarabu pale kariakoo ndio walikuwa wanamsumbua marehemu clip zipo YouTube katafute
Haya ngoja nikazitafute Clip huko You Tube 🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…