Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Muwe wapole.Safari hii mtajicheki.Yule refa wenu anayewabeba kila mara hatochezesha tena.Magoli yatafungwa ata kwa mkono ilimradi point tatu na refa aite kati alafu tutakutana mwisho wa msimu tuone nani bingwa,,akuna kucheka na kima,,
Uyo refa ndio alipuliza kwenye mechi 4 mfululizo? Mbona nyingine mlipigwa na marefa walipuliza wengineMuwe wapole.Safari hii mtajicheki.Yule refa wenu anayewabeba kila mara hatochezesha tena.
gongowazi ni vilaza kupindukia nyie si ndo mlisema amina kyando na tatu malogo ni wanachama wa simba. Set ya waamuzi imebadilishwa still mnalalamika. Huo mwiko huko nyuma unawapa tabu sanaHii mechi ilikua na sarakasi nyingi sana. Ilianza kwa vibali vya wachezaji, ikaja swala la refa ambaye jana tu ndo kabadilishwa. Hii ilikua match fixing nje nje. Ila hawa dawa yao inachemka
Hii mechi ilikua na sarakasi nyingi sana. Ilianza kwa vibali vya wachezaji, ikaja swala la refa ambaye jana tu ndo kabadilishwa. Hii ilikua match fixing nje nje. Ila hawa dawa yao inachemka
Yanga kumfunga Simba ni moja ya malengo ya Yanga. Simba malengo ni ubingwa wa Afrika. Kupanga ni kuchagua.Mtaanza kupiga mayowe siku sio nyingi
Jibu swali ndipo uulize swali we 🐸Simba ilikuwaje ikapigwa na yanga mechi 4 mfululizo kama unashangaa kupigwa na Tabora mechi Moja?
Mnaota ubingwa wa afrika wakati ata kuvuka tu hatua ya robo fainali kwenye kombe la Asante Mosepe uwa mnashindwa pamoja na udhaifu wa vilabu vilivyopo uko sembuse ubingwa wa afrika!!! Uko ndotoni sio bureYanga kumfunga Simba ni moja ya malengo ya Yanga. Simba malengo ni ubingwa wa Afrika. Kupanga ni kuchagua.
Kwan MC algers kakufunga mara ngapi mfululizoSimba ilikuwaje ikapigwa na yanga mechi 4 mfululizo kama unashangaa kupigwa na Tabora mechi Moja?
Ushindi na kuchukua ubingwa ni mchakato dogo. Sio unaibuka tu unachukua ubingwa. Ukitaka kulijua hilo waulize Yanga. Ahahahahaha!Mnaota ubingwa wa afrika wakati ata kuvuka tu hatua ya robo fainali kwenye kombe la Asante Mosepe uwa mnashindwa pamoja na udhaifu wa vilabu vilivyopo uko sembuse ubingwa wa afrika!!! Uko ndotoni sio bure
Kwenye Asante Mosepe yanga wamecheza fainali na nyie kama ni vidume fikeni walipofika tuone,,uku klabu bingwa sio uko mliko kwa walioferi,uku ni wanaume wanapambana mabingwa wa nchi tofautisha ivyo vitu!Ushindi na kuchukua ubingwa ni mchakato dogo. Sio unaibuka tu unachukua ubingwa. Ukitaka kulijua hilo waulize Yanga. Ahahahahaha!
Mwaka juzi walifika fainali Ahsante Mosepe( Ahahahahaha). Mwaka jana wakaishia robo fainali. Mwaka huu, makundi (Ahahahahaha)!!!
Ubingwa ni mchakato na inshallah Ubingwa tutabeba!
Huko mlikoishia kwenye makundi sisi robo fainali ndio kwetu na bado safari ijayo ngoma hadi fainali. Huku kwa Ahsante Mosepe hatuchezi fainali tuu bali tunachukua kombe kabisa! Stay tuned!!Kwenye Asante Mosepe yanga wamecheza fainali na nyie kama ni vidume fikeni walipofika tuone,,uku klabu bingwa sio uko mliko kwa walioferi,uku ni wanaume wanapambana mabingwa wa nchi tofautisha ivyo vitu!
Labda mkaliibe,,unadhani kubeba kombe kule Kuna marefa waliopuliza dhidi ya Tabora united,,kwaiyo robo fainali ndio mafanikio ya Kila msimu? Tuonyeshe ata medali mliyopata ya kufika robo fainali?Huko mlikoishia kwenye makundi sisi robo fainali ndio kwetu na bado safari ijayo ngoma hadi fainali. Huku kwa Ahsante Mosepe hatuchezi fainali tuu bali tunachukua kombe kabisa! Stay tuned!!
Stay tuned! Hata Yanga wanajua huko hakuna Kayoko ndio maana wameishia makundi. Sisi ngoma hadi fainali!Labda mkaliibe,,unadhani kubeba kombe kule Kuna marefa waliopuliza dhidi ya Tabora united,,kwaiyo robo fainali ndio mafanikio ya Kila msimu? Tuonyeshe ata medali mliyopata ya kufika robo fainali?