Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

Magoli yatafungwa ata kwa mkono ilimradi point tatu na refa aite kati alafu tutakutana mwisho wa msimu tuone nani bingwa,,akuna kucheka na kima,,
Muwe wapole.Safari hii mtajicheki.Yule refa wenu anayewabeba kila mara hatochezesha tena.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hii mechi ilikua na sarakasi nyingi sana. Ilianza kwa vibali vya wachezaji, ikaja swala la refa ambaye jana tu ndo kabadilishwa. Hii ilikua match fixing nje nje. Ila hawa dawa yao inachemka
gongowazi ni vilaza kupindukia nyie si ndo mlisema amina kyando na tatu malogo ni wanachama wa simba. Set ya waamuzi imebadilishwa still mnalalamika. Huo mwiko huko nyuma unawapa tabu sana
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Yanga kumfunga Simba ni moja ya malengo ya Yanga. Simba malengo ni ubingwa wa Afrika. Kupanga ni kuchagua.
Mnaota ubingwa wa afrika wakati ata kuvuka tu hatua ya robo fainali kwenye kombe la Asante Mosepe uwa mnashindwa pamoja na udhaifu wa vilabu vilivyopo uko sembuse ubingwa wa afrika!!! Uko ndotoni sio bure
 
Ushindi na kuchukua ubingwa ni mchakato dogo. Sio unaibuka tu unachukua ubingwa. Ukitaka kulijua hilo waulize Yanga. Ahahahahaha!

Mwaka juzi walifika fainali Ahsante Mosepe( Ahahahahaha). Mwaka jana wakaishia robo fainali. Mwaka huu, makundi (Ahahahahaha)!!!
Ubingwa ni mchakato na inshallah Ubingwa tutabeba!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kabakwa mwingine ujauzito umetokea kwa mwingine.kupata kuna mungu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ushindi na kuchukua ubingwa ni mchakato dogo. Sio unaibuka tu unachukua ubingwa. Ukitaka kulijua hilo waulize Yanga. Ahahahahaha!

Mwaka juzi walifika fainali Ahsante Mosepe( Ahahahahaha). Mwaka jana wakaishia robo fainali. Mwaka huu, makundi (Ahahahahaha)!!!
Ubingwa ni mchakato na inshallah Ubingwa tutabeba!
Kwenye Asante Mosepe yanga wamecheza fainali na nyie kama ni vidume fikeni walipofika tuone,,uku klabu bingwa sio uko mliko kwa walioferi,uku ni wanaume wanapambana mabingwa wa nchi tofautisha ivyo vitu!
 
Huko mlikoishia kwenye makundi sisi robo fainali ndio kwetu na bado safari ijayo ngoma hadi fainali. Huku kwa Ahsante Mosepe hatuchezi fainali tuu bali tunachukua kombe kabisa! Stay tuned!!
 
Labda mkaliibe,,unadhani kubeba kombe kule Kuna marefa waliopuliza dhidi ya Tabora united,,kwaiyo robo fainali ndio mafanikio ya Kila msimu? Tuonyeshe ata medali mliyopata ya kufika robo fainali?
 
Stay tuned! Hata Yanga wanajua huko hakuna Kayoko ndio maana wameishia makundi. Sisi ngoma hadi fainali!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Niliwai kuzungumza kinachoendelea nikaambiwa ubaya ubwela na vicheko juu,,sasa mayowe ni vilio vimetamalaki wamesahau kabisa post zao za mipasho nilipowataadhalisha!
 
Back
Top Bottom