Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

Nauliza hivi: Kama Simba ingekuwa haijashinda mechi zake ilizocheza, Je, suala la Kagoma lingeibuka?
Utopolo mkae kwa kutulia, kama mmeshamchukua Chama sasa Kagoma wa kazi gani tena?
Sasa mjue kuwa Yusuf Kagoma kawagomea
 
Sheria ni msumeno
 
Ndiyo tutawauliza hao TFF kwa nini walitoa leseni, kwa mchezaji aliyesaini mkataba kwenye timu mbili.
Pengine watu hamjui kuwa kusaini mkataba sio kusajiliwa. Mchezaji anayemilikiwa na timu anasajiliwa kwenye mfumo baada ya timu yake kutuma code kwa timu inayomsajili. Ikiingizwa hiyo code hakuna timu nyingine duniani itakayoweza kumsajili. Kagoma hakusajiliwa na Yanga ndio maana wanahangaika, bali alisaini mkataba wa kuja kusajiliwa. Angekuwa amesajiliwa na Yanga basi Simba wangekwama kumsajili, maana ni ishu ya electroniki. Ni kama wewe hapa ukitaka kujiita kwa ID iliyomo humu tayari, utashindwa tu, kama huamini jaribu kubadili ID ujiite Kalpana
 
Je baada ya kuingia naye mkataba mlisajili? Kama hadi dirisha ldah usajili linafingwa bila ninyi kumsajili, hiyo imekula kwenu. Mliingia naye mkataba ili asajiliwe siyo vinginevyo. Kama mngekuwa mmemsajili Simba wasingeweza kumsajili sababu mfumo ungelataa.
Nikionacho hadi sasa ni kwamba hamjafanya mchakato wowote ule wa kumsajili ndiyo maana madai yenu hayalalamikii kwamba mfumo umemkataa, bali mnalalamika kuwa mbina anachezea Simba wakati ana Mkayaba nah Yanga, hamsemi mmemsajili wala mlijaribu kumsajili.
 
Pengine watu hamjui kuwa kusaini mkataba sio kusajiliwa. Mchezaji anayemilikiwa na timu anasajiliwa kwenye mfumo baada ya timu yake kutuma code kwa timu inayomsajili. Ikiingizwa hiyo code hakuna timu nyingine duniani itakayoweza kumsajili. Kagoma hakusajiliwa na Yanga ndio maana wanahangaika, bali alisaini mkataba wa kuja kusajiliwa. Angekuwa amesajiliwa na Yanga basi Simba wangekwama kumsajili, maana ni ishu ya electroniki. Ni kama wewe hapa ukitaka kujiita kwa ID iliyomo humu tayari, utashindwa tu, kama huamini jaribu kubadili ID ujiite Kalpana
Wewe jamaa wewe, unaelewa maana ya mkataba? Yaani kwa maelezo yako mchezaji anaweza kuamua kusaini mkataba na timu hata 10 au sio. Akapiga hela na mwisho akachagua timu moja ya kwenda. Mkataba ni makubaliano ya kazi, ambayo ukiishayaingia nenda katekeleze na sio janja janja. Vinginevyo huo unakuwa ni utapeli. Hivi vilabu vinaonewa sana, angekuwa mchezaji ndiyo mchezaji ndiyo kaachwa yaani huruma zingetawala.
 
Back
Top Bottom