PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Upo sahihi kabisaNadhani pia Yanga hawana kesi na Simba, bali wameishtaki Singida na Kagoma. Ishu ipo kwa mchezaji kufungiwa ikithibitika na nadhani wachezaji wetu busara imepungua sana. Inawaharibia hata CV kwa baadae.