Pengine watu hamjui kuwa kusaini mkataba sio kusajiliwa. Mchezaji anayemilikiwa na timu anasajiliwa kwenye mfumo baada ya timu yake kutuma code kwa timu inayomsajili. Ikiingizwa hiyo code hakuna timu nyingine duniani itakayoweza kumsajili. Kagoma hakusajiliwa na Yanga ndio maana wanahangaika, bali alisaini mkataba wa kuja kusajiliwa. Angekuwa amesajiliwa na Yanga basi Simba wangekwama kumsajili, maana ni ishu ya electroniki. Ni kama wewe hapa ukitaka kujiita kwa ID iliyomo humu tayari, utashindwa tu, kama huamini jaribu kubadili ID ujiite
Kalpana