Ndiyo maana nimesema Kagoma na Singida Black Star wana hatia, lakini Simba hana hatia kwa kuwa kwenye manunuzi yake alifuata taratibu zote ikiwemo kwenda T.R.A (TFF) ambapo walimpatia hati ya umiliki, lakini Yanga pamija na kuwa na mkataba halali naye wao hawakwenda kufuatilia taratibu za kumsajiri ili wapewe hati ya kummiliki. Kama Yanga wangefanya taratibu hizo, Simba wangekutabmchezaji tayari yupo kwenye mfumo na hivyo ombi lao la kumsajili lingegonga mwamba.
Lakini, ikithibitika kuwa Simba walijua kuhusu kagoma kusajiliwa Yanga lakini wakafanya ushawishi au mbinu basi hapo itawagharimu pia.