Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

Nadhani pia Yanga hawana kesi na Simba, bali wameishtaki Singida na Kagoma. Ishu ipo kwa mchezaji kufungiwa ikithibitika na nadhani wachezaji wetu busara imepungua sana. Inawaharibia hata CV kwa baadae.
Upo sahihi kabisa
 
' Vihiyo' WA Yanga hawalijui hili. Hata Ile issue ya Morrison walikuwa wanadanganyana vijiweni kuwa Simba itaporwa point. Badala ya kupika supu wangeanzisha Shule Kwa ajili ya shabiki zao.
Wakumbushe na ishu ya Emanuel okwi wakati anatoka Yanga kurudi Simba.
 
Utopolo watakusumbua sababu hawajui maana ya buyer na seller .
Buyer = Mnunuzi
Seller = Muuzaji
 
Reactions: Tui
Kaka kuna wanawake wanaolewa kwa kupewa mahali ya biblia au msahafu tu. Ni makubaliano.
Hamna UTO wanaishi ki ujanja ujanja; mwaka jana wamepata ubingwa kwa mbinu za mezani - mwaka huu washaanza tena.

Ubaya - Ubwela dadeq
 
L
Lawi je?
 
Sasa ulitaka walipe kiasi gani,maana club ilitaka hiyo mil 30.Au nyie Kolo FC kwa mujibu wa risiti zenu mmetoa kiasi gani.
Hiyo inaonyesha namna wanavyompiga mo kwenye usajili. Wamwembia mo kuwa Kagoma anauzwa 300m
 
Mkataba wa kwanza haujavunjwa (haukuvunjwa
 
Mkataba wa kwanza haujavunjwa (haukuvunjwa
Mkataba sio usajili (contract is not registration). Mkataba ni kiambatanisho kimojawapo katika kufanya usajili. Viambatanisho vingine ni cheti cha kuzaliwa, release letter kama umeuzwa na vingine vichache. Kwa hiyo klabu moja kuwa na kiambatanisho kimojawapo hakimzuii mchezaji kukamilisha usajili (registration) katika klabu nyingine. Hata viongozi wa Yanga wanajua hilo ndio maana wametoka hadharani kuitisha press hata kabla shauri halijapitiwa na TFF
 
Noted with thanks
 
Reactions: Tui
Mkataba unakuwa valid pale ambapo vipengele vya mkataba vinatimizwa,
 
Reactions: Tui
Double signing ni kosa la maadili sio la sheria za mpira. Kwenye football suala la usajiri lina process zake.
 
Reactions: Tui
Mkataba wa kwanza haujavunjwa (haukuvunjwa
Fountain gates hawakunja mkataba na Kagoma hakuvunja mkataba na Yanga. Kagoma ana kesi ya double signing na Fountain gates wana kesi ya utapeli. Mchezaji asingekubali kusaini mkataba kabla ya matakwa yake kutekelezwa na club isingepokea fedha ya Yanga kabla mchezaji hajakubaliana na Yanga. Mikataba ya Kagoma, Kibabage na Andambwile inajitegemea kila mmoja, haiwezi kuhusishwa na mkataba wa Kagoma hata kidogo. Kila mkataba unajitegemea, hivyo fountain gates wanafanya makosa makubwa kutaja mikata ya Kibabage na Andabwile kwenye kesi ya Kagoma, ni kuwakosea heshima Kibabage na Andambwile wasiokuwa na mgogoro kuweka mambo yao hadharani..
 
Je, Ni sawa kumwajili mfanyakazi ambae amefanya uhalifu sehemu nyingine? Simba na TFF wakati ule wanamsajili Kagoma kuichezea Simba hawakujua kwamba Kagoma amesaini Yanga pia? Kama walijua Simba na TFF wana makosa, na kama hawakujua Yanga wana makosa kwenye hili.
 
Mkataba unakuwa valid pale ambapo vipengele vya mkataba vinatimizwa,
Mkataba ni makubaliano, makubaliano yanaweza kuwa hata ya mdomo ilimradi kuwe na mashahidi. Kagoma ana mkataba ulisainiwa mbele ya mashahidi akiwemo mwanasheria wake. Huko TFF ni kuthibitisha TU na kupewa leseni lakini TFF haiwezi kuongilia mkataba kati ya mchezaji na club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…