DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bora u eiona hilo. Zamani sana nimesemq hapa JF, uyu nafaa kuwa waziri wa zimamoto.

Tazama alivyosema, eti maadili "kwenye madawati"?

Kwa ufupi hana ubunifu kabisa, anachokijuwa yeye ni kuwahi kuzima moto tu ukishawaka. hajuwi kuzuwia moto usiwake.
Suala la kuwa na viongozi incompentence nafikiri ni la muundo mzima wa kiungozi nchini. Embu tuachane na huyu waziri, je ni eneo lipi kama nchi tumeweza kulimudu efficiently kiasi kwamba dunia inaweza kujifunza kutoka kwetu?
 
Hili unakuta pia mzazi wala hajui lolote au anajua
 
Vyuo vinafundisha nadharia sana, inabidi miaka ya kukaa darasani chuoni ipunguzwe wanafunzi watumie muda mwingi zaidi wakiwa field. Vyuo vibaki kuwa sehemu ya kufanya tafiti tu.
 
Kuwafukuza wameasaidia nini?
Mnarudisha wenye mimba, mnafukuza waliorekodi viungo ni ujinga wa hali ya juu.

Hivyo uchi ndio uharibu maizha ya mtoto?

Walitakiwa kuadhibiwa, kurekebishwa na kuonywa
Dkt. Gwajima D
Hii haiko sawa
Iko sawa kabisa kwa kuwa wameondolewa shuleni hapo wasiharibu wengine na kupelekwa program ya marekebisho ya tabia kwanza kwa kuwa wako chini ya miaka 18 kwa mujibu wa sheria ya mtoto ambayo wengi hamuisomi na Iko humu online.

Lawama laumuni tu kwa kuwa ndiyo uhuru wa maoni ila sisi hufanya haya mambo kitaalamu kabisa. Ahsante Sana ubarikiwe
 
Sio watoto "washule" mkuu, ni wanafunzi. Mbona tittle iko poa!?, unachokuwa kama unaoga nje ni nini?
 
Hao watoto wafukuzwe mara Moja, ndio hao wanaofanya BIASHARA NGONO kupitia makundi ya Wasap, Telegram , wakisemaa, natoa huduma za

video call .

Picha za kumayangu .

Kufirana.....

Kutombana kama Bata...

Massage...


Wafukuzwe , wasiwaambukize wenzio Michezo mchafu .

Wajinga hao wachache ndo wanaeneza Usagaji na umalaya.
 
Mkuu pole na majukumu na hongera Kwa Kazi nzuri unayofanya

Naomba kabla ya kuwafukuza shule hawa watoto mmetazama haya mambo kwa undani ?

1. Afya ya akili ya waanafunzi
2. Background ya malezi yao
3 . Umri wao hasa katika Foolish Age


Unapomfukuza mtoto shule unajua unakuwa umemtoa mchezoni kabisa

Kuna adhabu ambazo zinaweza kuwa rafiki na zinazomjenga mtoto .

Elimu ni muhimu maana hakuna MTU ambaye huwa hakosei hivyo ni vizuri mgefikiria hili jambo pasipo kutumia mihemko
 
Nilikuwa vijijini ndiyo naibuka mitandaoni. Kwanza ahsanteni sana kwa mjadala moto moto.

Pili, wengi wenu huwa mnapenda kutafuta angle hasi Ili mumpige mtu aonekana kafanya vitu vibaya Sana hajawahi kutokea tangu ulimwengu uumbwe. Pia stori imegeuzwa makusudi tu wala haiko hivyo. Lengo sijui.

Kifupi nimeenda ziara hapo na nimekuta walishafukuzwa na mamlaka ya mkoa zamani tu na ilikuwa ni taarifa ya Mkuu wa Mkoa kuhusu hatua alizochukua pale. Hapo alichangia mimi nilipokuwa nahimiza kuwa, shule zote nchini ziwe na madawati ya ulinzi wa watoto kama tulivyozindua miongozo ya kisera mwaka juzi. Sasa mbona vimegeuzwa? 🀣

Tatu; watoto hao wameondolewa kwenda marekebisho ya tabia kwanza kisha waje waende shule zingine kwani, katika haki za watoto ni pamoja na elimu na hata ikiwa watoto wako mahabusu wanaendelea na elimu.

Wakati mkiendelea sasa kujadili na kulaumu, rekebisheni kwanza taarifa wapendwa sana.

Nawapenda Sana mbarikiwe wote 🀝
 
Nimwambie binti yangu nampenda.! Haya mambo sio pigo zetu wanaume wa kiafrika, upendo wa baba utauona tu kupitia sacrifice zake kwa familia. Wakina mama mnashinda sana na watoto ndio mnatakiwa kuwa-monitor na kupeleka taarifa kwa baba mkiziona dosari
 
No hapo sasa, halafu familia na wazazi na Walezi hawana mikakati ngazi ya familia na miongozo ya malezi na makuzi tumezindua tukasambaza na tukafundisha vipindi redioni vya kutosha na bado program za malezi na makuzi ziko huko kwenye jamii. Je wanasikia sasa? Iwapo kupiga tu watoto wanasema wapigwe tu kisa nasi enzi zetu tulipigwa....

Vema tuanze mikakati ndani ya familia kabisa wazazi na Walezi tutimize wajibu wetu
 
Na nyimbo zinazohamasisha ngono wanaziachilia wao wako busy kufungia nyimbo zenye ushawishi harakati za kisiasa?

Pia kutotaja hiyo shule ndio suluhu ya kumaliza tatizo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…