DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuwafukuza wamwasaidia nini?

Hivyo uchi ndio uharibu maizha ya mtoto?

Walitakiwa kuadhibiwa, kurekebishwa na kuonywa

Hapana mama, huwa ninakuunga mkono na nitaendelea kukuunga mkono lakini katika hili tuweke mihemko pembeni tujadili uhalisia;
1. Aliyezaa akarudishwa shule, je haharibu wengine kuona kuwa waweza kujihusisha na uasherati na kuzaa na ukarudishwa shule?
2. Kuna tofauti gani na huyu aliyejirekodi kwa ujinga wa utoto tu?

........
Mapendekezo yangu;
  • Waadhibiwe mbele ya wenzao ili iwe funzo kwao na wenzao.
  • si sawa kumnyima mtoto elimu kwa makosa ya utotoni.


Mwisho: Anzeni na wasanii wetu, wanatuharibia jamii na haya ndiyo matokeo ya uharibifu huo.
 
Hongera sana muheshimiwa pongezi kwa kazi nzuri ya kusaidia ustawi wa hao watoto na jamii.
 
Wakizaa hawafukuzwi.
Simu zilifikaje shule?
Wawape suspension.
Story yenyewe inayojadiliwa imepotoshwa. Walishaondolewa shuleni kitambo Mimi nilikuwa napewa taarifa tu, na wameenda program ya malezi na makuzi huko Ustawi wa Jamii Ili tabia zikae sawa waweze kuendelea na masomo eneo lingine. Au walitaka wafundishe shule yote? Na kama wengine wapi huko watajwe Ili waende kwenye program hizo. Halafu jamii isome Sheria ya mtoto kama wanavyosoma mambo mengine yote online maana ipo humu.

Ahsante Sana kwa mjadala
 
Sasa Mhe. kama nchi kuna mkakati gani wa kukabiliana na mmong'onyoko wa maadili na athari hasi za utandawazi?

Maana haitawezekana kushugjulika na tatizo moja moja ni lazima kuwe na mfumo wa jumla.
 
Hongera sana muheshimiwa pongezi kwa kazi nzuri ya kusaidia ustawi wa hao watoto na jamii.
Mimi naona siku hizi hata pongezi nisipewe tu🀣, nipondwe pondwe tu Ili mradi nimetimiza wajibu wangu, maana ukweli hata hakuna jema kabisa. Wazazi na walezi wenye watoto hawatimizi wajibu wao, sisi tukisema tukaokoe jahazi walilozamisha wao, wanainuka tena wapindisha stori na wanashangiliwa na wazazi nao wanaungana kutupondaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Uongozi kweli jalala, haya waje tu waniponde ponde nishazoea, ila Hawa watoto wataenda kliniki ya marekebisho ya tabia kwanza ndiyo waende kwenye haki yao ya elimu shule nyingine. Na tukikuta wengine ni hivyo hivyo. Wazazi na Walezi kaeni chonjo maana waliokosa malezi nyumbani kwa baba na mama wanaenda kufundisha wengine shuleni.
 
Dkt Gwajima , ukweli ni Ukweli , Maamuzi mlofanya ni sahihi na ninawaunga mkono 100%.


Hao Mabinti mkifatilia mtandao wao mtagundua ya kwamba wanafanya kazi chini ya Midada na Mijimama inayofanya Biashara NGONO kupitia Mitandao ya Kijamii.

Mabinti hao kupitia Mitandao mbali mbali ya kijamii , kazi yao kubwa ni kutafuta Wateja.

Biashara hii imegawanyika katika vipengele mbali mbali , Mfano.... Watadai wanatoa huduma hizi na Kila huduma Unatakiwa kulipiaa.

Kutuma Picha Uchi.

Kuongea Video call akiwa Uchi.

Kufanya Massage ( wao Wana aina mbali mbali za massage).

Ngono Kwa aina zake

Ngono kinyume na maumbile

N.k.

Sasa nini Hatari Kwa Shule hiyo?.


Kwakua ni Biashara ambayo kwao ni rahisi kuingza Pesa,

Itakua ni rahisi sana kueneza ugonjwa huo Kwa waschana wengine shuleni hapo, Kuongezeka Kwa visa vya Mapenzi ya jinsia moja .

Kwa kulinda Masilahi ya waschana wengine, KUWAFUKUZA MABINTI HAO NDIO LILIKUA SULUHISHO.

lakini pia kupitia Mabinti hao wawili ambao naamini wanaweza kua Wakazi wa Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza , mnaweza kufumua mtandao mzima

Nmewahi gusua hili Kwa uchache na nikakuita πŸ‘‡

 
Tuanze na wewe kwanza. Uko kwenye magrupu ya telegram na whatsapp ulifuata nini
 
Wanaenda program ya marekebisho ya tabia nje ya walipokuwa maana ni hatari kwa kuambukiza wengine. Mlitaka wabaki hapo hapo?
 
Heshima sana kwako Mheshimiwa. Mungu akukuze, ung'ae, uonekane.

Ila usinisahau.
 

Waelimishe tu wengine pia, maana mimi nikiwajibu badhi wanaanza ligi za mashindano πŸ˜€
 
nazani ni maamuzi sahihi sana yamefanyika. Tumekua tukificha uovu kwa vijana wetu kwa kigezo cha kusingizia umli wao ni mdogo. ofisi ya waziri yenye mamraka katika malezi, wako sahihi kabisa kwa hatua zilizo chukuuliwa. big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…