Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Heshima sana kwako Mheshimiwa. Mungu akukuze, ung'ae, uonekane.
Ila usinisahau.
Wakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Wanaenda program ya marekebisho ya tabia nje ya walipokuwa maana ni hatari kwa kuambukiza wengine. Mlitaka wabaki hapo hapo?
Andika jina la hiyo wilaya ukiingia telegramKwenye mtandao gani mkuu?
Wewe nani kakuambia Hawa hawatasoma tena? Mbona hata huko mahabusu za watoto wanasoma. Mbona mnapotosha ukweli kuwa ilibidi waondolewe pale wakarekebishwe tabia ndiyo waende tena kuanza shule? Mlitaka waachwe pale waharibu wote au?Hapana mama, huwa ninakuunga mkono na nitaendelea kukuunga mkono lakini katika hili tuweke mihemko pembeni tujadili uhalisia;
1. Aliyezaa akarudishwa shule, je haharibu wengine kuona kuwa waweza kujihusisha na uasherati na kuzaa na ukarudishwa shule?
2. Kuna tofauti gani na huyu aliyejirekodi kwa ujinga wa utoto tu?
........
Mapendekezo yangu;
- Waadhibiwe mbele ya wenzao ili iwe funzo kwao na wenzao.
- si sawa kumnyima mtoto elimu kwa makosa ya utotoni.
Mwisho: Anzeni na wasanii wetu, wanatuharibia jamii na haya ndiyo matokeo ya uharibifu huo.
A Logical argument is the one of the significant and essential indicator of person's intellectual development ..Waelimishe tu wengine pia, maana mimi nikiwajibu badhi wanaanza ligi za mashindano 😀
Mh ujumbe, huo ukurasa umeongezeka viwaz huko telegram baada ya tangazo la waziri kutokaMh mjumbe ebu sihia hapo..
Nikuulize; unajua kwenye vifungo vya watoto kwa mujibu wa Sheria yao tunao wangapi? Unajua wanasoma wapi kwani? Kukomenti lawama bila kuuliza kwani kuna mipango Gani ya serikali kwenye ku deal na watoto wanaokinzana na Sheria yao, Mimi huwa naona kama ni kuongozwa na chuki tu binafsi dhidi ya kiongoziNakubaliana na wewe Ila mnabidi Kuwa na ubunifu na kufanya ufailtiliaji kujua kipi kinawasukuma hadi wao kufika huko .
Ukiwafukuza shule ambayo ni ya serikali je mmefikiria kuwa wataweza kusoma shule nyingine za kulipia uwezo huo wanao ?
Mmgewapa uhamisho wasiendelee kusoma katika shule wali yo po Ila waende wakosome shule nyingine za serikali.
Mbona viongozi wa serikali huwa wanaharibu na wanaishia kuhamishwa ?
Mnabidi kuwa na ufanisi msijikite kuangalia upande mmoja wa shilingi.
Ndiyo maana komenti zao huwa nazipita tu, najibu yenye mashiko chanyaA Logical argument is the one of the significant and essential indicator of person's intellectual development ..
Daima nmekua na Imani Nawewe, nikionaga unasimamia kitu, naelewa nyuma yake una sababu kubwa na za muhimu.
Ikiwa Kuna watu hapa jukwaan Kwa Uzi Huu wanatafuta mabishano ya Ligi , nadhan Hauna haja ya kuumiza vidole.
Pm yangu ipo wazi mkongweWadau ndio waliniponza na macho yangu hayana pazia mkuu..😝
Ndugu mwanzisha Uzi salaam. Sasa huko kuonywa wewe unajua wameshaonywa mara ngapi kwani? Na pia huko kuendelea kusoma hapo huoni kama wangeambukiza wengine? Unajua kuwa, watoto Wana haki ya elimu na hata waliohukumiwa kwa makosa mbalimbali, hufanyiwa marekebisho ya tabia na kuendelea na masomo. Sasa Hawa vipi wabaguliwe? Sasa hoja hapa ni kuwa hufahamu mengi nyuma ya hatua hizi ambazo ni kwa mujibu wa taratibu za Sheria ya mtoto na ustawi wa jamii. Ungeniuliza naamini ungeandika vema zaidi Uzi wako ukiwa ume balance equation yako vema. Siku ingine tafadhali fanya hivyo. Kila la heriWakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Nikuulize; unajua kwenye vifungo vya watoto kwa mujibu wa Sheria yao tunao wangapi? Unajua wanasoma wapi kwani? Kukomenti lawama bila kuuliza kwani kuna mipango Gani ya serikali kwenye ku deal na watoto wanaokinzana na Sheria yao, Mimi huwa naona kama ni kuongozwa na chuki tu binafsi dhidi ya kiongozi
Ukiweza kumtamkia sawa na vizuri hata usipoweza kama watu wetu tulivyo sawa tu, ila ni vizuri akajua kwamba baba yupo kwa vitendo. Kwamba akipata shida, haoni ugumu kumtafuta baba amsaidie..sio kifedha peke yake! Hata ktk mambo mengine.Nimwambie binti yangu nampenda.! Haya mambo sio pigo zetu wanaume wa kiafrika, upendo wa baba utauona tu kupitia sacrifice zake kwa familia. Wakina mama mnashinda sana na watoto ndio mnatakiwa kuwa-monitor na kupeleka taarifa kwa baba mkiziona dosari
Awali ya yote miaka ya nyuma kabla ya wizara hii kuundwa hapo mwaka 2021 jamii wala ilikuwa haijui yanayojiri, ilikuwa kimya hata mijadala haikuwepo.KAMA TAIFA TULIKWISHA FAIL KITAMBO SANA KATIKA SUALA LA MALEZI
Nimekuta walishaondolewa na hata kama ningewakuta ningewaondoa tu kuwapeleka kwenye program stahiki ya kuwatengeneza. Ulitaka waachwe? Wewe ulitakaje kwaniMimi mama Nakuuelewa Ila Kama umehusika kuwaondoa hao watoto shule utakuwa umekose
Hatuna chuki mkuu Ila tunapenda kuona mnatumia nguvu ambayo italeta matokeo chanya Kwa jamii nzima.
Katika shule za serikali je mmefikiria kuajiri wanasaikolojia ambao watakuwa wana-shape tabia za watoto
Mambo yenu mengi hayana mpangilio mzuri .
Jaribu Kuwa mbunifu na ujitofautishe
Mfano unashindwa kuandaa bajeti ya kuajiri wanasaikolojia mashuleni angalau kila shule wakawepo walimu wawili watakaodili na Saikolojia na malezi
.........kama bata🤣🤣Hao watoto wafukuzwe mara Moja, ndio hao wanaofanya BIASHARA NGONO kupitia makundi ya Wasap, Telegram , wakisemaa, natoa huduma za
video call .
Picha za kumayangu .
Kufirana.....
Kutombana kama Bata...
Massage...
Wafukuzwe , wasiwaambukize wenzio Michezo mchafu .
Wajinga hao wachache ndo wanaeneza Usagaji na umalaya.
Jamani mm siwezi kuamini hadin8o e hizo picha. Ilikuwaje? Naomba mwenye nazoanitumir PM nijiridhishe kwanza kabla ya kutoa comment yoyote.Wakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.
Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.
Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.
Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.
Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.
Nimekuta walishaondolewa na hata kama ningewakuta ningewaondoa tu kuwapeleka kwenye program stahiki ya kuwatengeneza. Ulitaka waachwe? Wewe ulitakaje kwani