Safi sana! Hii tabia ni ya kuikemea, kuikata kwenye mzizi wake kabisa kabla haijapata shina πNimekuta walishaondolewa na hata kama ningewakuta ningewaondoa tu kuwapeleka kwenye program stahiki ya kuwatengeneza. Ulitaka waachwe? Wewe ulitakaje kwani
Bora wewe unachambua tatizo. Na ndiyo maana serikali ya Awamu ya sita katika kukabiliana na umaskini imeendelea kuboresha mikopo nafuu na juzi tumepokea fedha kwa ajili ya kwenda kutoa mikopo ya Wafanyabiashara ndogo ndogo kupitia NMB mtu mmoja mmoja na siyo kikundi. Watoa komenti wengi unaona kabisa wanapitwa na taarifa nyingi ila wanatoa komenti kama vile labda wanafahamu mikakati yote. Na mikakati yenyewe tukitoa taarifa views hata mia hazifiki. πUtandawazi na athari zake.
Kifupi utandawazi umetukuta off-guard.
Bahati pia umezikuta familia nyingi kwenye umasikini mkubwa na kuwafanya walezi/wazazi kuwa busy kutafutia familia ugali na mwisho wa siku watoto wanakosa uangalizi.
TUnahoji kulingana na taarifa kuwa wamefukuzwa mamaWewe nani kakuambia Hawa hawatasoma tena? Mbona hata huko mahabusu za watoto wanasoma. Mbona mnapotosha ukweli kuwa ilibidi waondolewe pale wakarekebishwe tabia ndiyo waende tena kuanza shule? Mlitaka waachwe pale waharibu wote au?
Halafu mbona mimi nimekuta walishaondolewa shuleni kitambo? Au mnadhani mimi ndiyo jana nimewaondoa? Mbona chanzo cha taarifa nacho kimedanganya? Au nacho nikishtaki?
Hoja yako nzuri sana ila vigumu kupata ajira zote hizo kwa wakati mmoja. Kumbuka, kama ni ajira nasi tunaomba wizara ya utumishi ambao huajiri kulingana na wage bill na mahitaji ya sekta zote. Hiyo zinazopatikana ndiyo hizo zinaenda. Na kumbuka, wizara haziajiri Bali ajira ziko halmashauri. Muwe mnakumbuka hili jambo. Hivyo, sisi ni watunga sera na miongozo ya kisera. Hivyo, kwa sasa ndiyo maana kuna madawati ya ulinzi wa watoto shuleni, waalimu nao wamesomea kozi za uangalizi wa watoto, wazazi nao nyumbani wanao wajibu na kwenye kata, Kijiji, mitaa kuna kamati za ulinzi wa watoto. Wote Hawa wakibaini tatizo wanapeleka rufaa kwa ustawi wa jamii. Ni kama afya tu kuwa, ukiona mgonjwa unampeleka wapi au taarifa unapeleka wapi? Je mbona mtoto akiugua nyumbani tunabaini, vipi akiwa na tabia mbaya tusibaini? Hatuwajibiki?OK hongera
Je Mh umefikiria swala la kuajiri wanasaikolojia mashuleni ambao watahakikisha wanaweka sawa swala la malezi na Afya ya Akili ya wanafunzi!?
Kuna mambo mengi Sana yanayoendelea mashuleni nisingependa kuyaandika hapa .
Kwanini msifikirie kitu Kama hiki
Mkitaka mfanikiwe katika mambo yenu hakikisha mnatafuta watu makini wenye uwezo mzuri wa kufikiria Great thinkers .Bora wewe unachambua tatizo. Na ndiyo maana serikali ya Awamu ya sita katika kukabiliana na umaskini imeendelea kuboresha mikopo nafuu na juzi tumepokea fedha kwa ajili ya kwenda kutoa mikopo ya Wafanyabiashara ndogo ndogo kupitia NMB mtu mmoja mmoja na siyo kikundi. Watoa komenti wengi unaona kabisa wanapitwa na taarifa nyingi ila wanatoa komenti kama vile labda wanafahamu mikakati yote. Na mikakati yenyewe tukitoa taarifa views hata mia hazifiki. π
Ila lete Sasa habari ya taharuki, nusu sasa Uzi wamesoma 1K
Kuweni makini na taarifa sasa na pia, pendeni kujipa fursa ya Imani na kusema Waziri njoo tujibu kabla hatujaanza kupiga spana konki. Anyway, nilishawazoea wapendwa wangu, sina shaka mtakuja kunikumbuka na mimi sina shaka nitakuja kuwa miss, kitambo kidogo tu kipiteπππTUnahoji kulingana na taarifa kuwa wamefukuzwa mama
Lete ushauri huo tafadhali. Yuko mmoja alitoa ushauri critical kuhusu beach boys huko, na nilimpongeza na tulifanyia kazi. Ni gentamicin huyu. Ushauri ni jambo jema tu mbona, nani huyu anakataa ushauri, mbaya Sana kukataa ushauriMkitaka mfanikiwe katika mambo yenu hakikisha mnatafuta watu makini wenye uwezo mzuri wa kufikiria Great thinkers .
Hamna wizara wala taasisi ya serikali inayofanya vuzuri
Umasikini mnashindwa kuuondoa kwakuwa hamna mikakati sahihi ya kuboresha Akili za watu.
Huwa nawaaambia hamtokaa mlete matokeo chanya Kama mtaendelea kuendesha nchi kisiasa.
Sisi hapa Jamiiforum tumewashauri hadi tumechoka.
Hoja yako nzuri sana ila vigumu kupata ajira zote hizo kwa wakati mmoja. Kumbuka, kama ni ajira nasi tunaomba wizara ya utumishi ambao huajiri kulingana na wage bill na mahitaji ya sekta zote. Hiyo zinazopatikana ndiyo hizo zinaenda. Na kumbuka, wizara haziajiri Bali ajira ziko halmashauri. Muwe mnakumbuka hili jambo. Hivyo, sisi ni watunga sera na miongozo ya kisera. Hivyo, kwa sasa ndiyo maana kuna madawati ya ulinzi wa watoto shuleni, waalimu nao wamesomea kozi za uangalizi wa watoto, wazazi nao nyumbani wanao wajibu na kwenye kata, Kijiji, mitaa kuna kamati za ulinzi wa watoto. Wote Hawa wakibaini tatizo wanapeleka rufaa kwa ustawi wa jamii. Ni kama afya tu kuwa, ukiona mgonjwa unampeleka wapi au taarifa unapeleka wapi? Je mbona mtoto akiugua nyumbani tunabaini, vipi akiwa na tabia mbaya tusibaini? Hatuwajibiki?
Lete ushauri huo tafadhali. Yuko mmoja alitoa ushauri critical kuhusu beach boys huko, na nilimpongeza na tulifanyia kazi. Ni gentamicin huyu. Ushauri ni jambo jema tu mbona, nani huyu anakataa ushauri, mbaya Sana kukataa ushauri
Kwamba hawatapewa fursa ya kusoma tena, ni hoja za wazushi tu wenye chuki zao sijui dhidi ya nani. Kwa kuwa wako watoto kwenye mahabusu zetu tano nchini na kwenye makao ya watoto waliofanya mambo magumu kusimulia huwezi na wanaendelea na elimu baada ya tabia zao kurekebishwa kitaalamu. Haya mengine ni spana tu za watu na yaoHiyo ni adhabu kubwa Kwa watoto
Tushajua ni watoto na walifanya utoto
Wawape adhabu hata ya viboko
Lakini wawape fursa ya kusoma tena
Mtu hubadillika, wanaweza kubadilika na kuwa wema
Sio hekima hiyo kumfukuza mtoto shule
Bunge la mwaka jana ulifuatilia kuhusu huu mjadala Hadi waziri wa utumishi akasimama?Kuweni na vipaumbele serikali inabidi kujua wapi ifanyinke allocation kulingana na uhitaji .
Leo mnazalisha watoto ambao hawana maadili ndo hao wanaishia kucheza picha za ngono .
Mimi nimekaa katika sectors ya elimu naelewa Sana .
Ndiyo maana wakati ajira zikiendelea hao hao wataalamu huketi kutafakari na kuja na mifumo saidizi. Niambie sekta moja yenye watumishi wote asilimia Nia na isiyo na mifumo saidizi tafadhali, niambie ipi hiyoNaomba katika bajeti ya serikali 2025/2026
Muandae bajeti ya kuajiri wanasaikolojia mashuleni na kila shule wawepo wanasikolojia wawili wa kike na wa kiume .
Nategemea kupata mrejesho mzuri .
Mwalimu hana uwezo wa kufundisha na kudeal na malezi ya mtoto Kwa wakati mmoja .
Baki nasi mamy...Kuweni makini na taarifa sasa na pia, pendeni kujipa fursa ya Imani na kusema Waziri njoo tujibu kabla hatujaanza kupiga spana konki. Anyway, nilishawazoea wapendwa wangu, sina shaka mtakuja kunikumbuka na mimi sina shaka nitakuja kuwa miss, kitambo kidogo tu kipiteπππ
Hivi mpaka serikali ianze kuangaika na yote hayo nyinyi kama wazazi mnafanya kazi gani ya kuhakikisha watoto wenu wanakuwa na maadili yanayo faa?OK hongera
Je Mh umefikiria swala la kuajiri wanasaikolojia mashuleni ambao watahakikisha wanaweka sawa swala la malezi na Afya ya Akili ya wanafunzi!?
Kuna mambo mengi Sana yanayoendelea mashuleni nisingependa kuyaandika hapa .
Kwanini msifikirie kitu Kama hiki
Na wewe uje sasa πππ hakunaga jukumu la milele, muda wangu utaisha tuBaki nasi mamy...
Hiyo kauli ya Yesu kuwa bado kitambo kidogo nipo nanyi na bado kitambo hamtaniona hebu ifute...hadi ukamilishe kazi ya kujenga ustawi wa kamii yetuππ
NIliko huku nakusaidia uraiani na natimiza wajibu wangu, wewe komaa hapo mama.Na wewe uje sasa πππ hakunaga jukumu la milele, muda wangu utaisha tu
Wanao zalisha watoto wasio kuwa na maadili ni wazazi sio serikali.Kuweni na vipaumbele serikali inabidi kujua wapi ifanyinke allocation kulingana na uhitaji .
Leo mnazalisha watoto ambao hawana maadili ndo hao wanaishia kucheza picha za ngono .
Mimi nimekaa katika sectors ya elimu naelewa Sana .
Muulize mipango wa waziri wako ni ipi kwenye kuiboresha na kuistawisha jamii?Nijuavyo na ndiyo ukweli, maadili siyo jambo linaloshughulikiwa na mtu mmoja au kikundi kimoja au aina moja ya watu. Maaduli ni suala mtambuka. Maadili ni jukumu la jamii nzima. Jamii yote ikishiriki kwa dhati katika kujenga na kudumisha maadili, jamii inaona waazi kabisa ustawi wa maadili. Zamani wakati tunakua, tulikuwa watoto wa jamii. Ukiwa mbali na wazazi yulikuwa tunaogopa kufanya ujinga kwa maana mtu mzima yeyote akikukuta anakupa nidhamu sawa kabisa kama utakayopewa na baba/mama yako. Halafu kila mtu mzima alikuwa anajiona ana wajibu wa kuhahihisha watoto wanakuwa na mwenendo wenye nidhamu. Lakini siku hizi mambo yako tofauti kabisa. Wazazi tuko bize kupita maelezo. Hata watoto walioko ndani mwetu tunashindwa kuwalea vyema. Mpaka wengine tuna outsource malezi kwa kuwapeleka boarding wayoto wachanga au kuwaachia watoto wasichana wa kazi. Muziki ni mzito. Maana madhara mengi sana, lakini lililo kubwa ni kuwa watoto wa sasa wengi hawatakuwa na mapenzi ya dhati kama ambayo sisi wa zamani tuliyo nayo kwa wazazi wetu. Sababu kubwa ni kuwa, hatuna muda na watoto kwa sasa, nao pia wakiwa wakubwa hawatakuwa na muda na sisi. Hapo talaka haija gusiwa. Ngoja niishie hapa. Lkn ukweli suala la maadili na malezi ni shiriikishi. Siyo la waziri pekee.