Basi haina haja ya kuwa na wizara ya ustawi wa jamii, Ifutwe, au siyo?Wanao zalisha watoto wasio kuwa na maadili ni wazazi sio serikali.
Mtoto wa kike Ambaye yupo chini ya miaka 18 ukishampatia simuNa simu wananunuliwa na wazazi wao halafu hakuna uangalizi na tv wanawekewa king'amuzi
Ila muheshimiwa ungetuwekea kavideo kidogo na Sisi tupate kuwa kemeaWaelimishe tu wengine pia, maana mimi nikiwajibu badhi wanaanza ligi za mashindano 😀
Bora wewe unachambua tatizo. Na ndiyo maana serikali ya Awamu ya sita katika kukabiliana na umaskini imeendelea kuboresha mikopo nafuu na juzi tumepokea fedha kwa ajili ya kwenda kutoa mikopo ya Wafanyabiashara ndogo ndogo kupitia NMB mtu mmoja mmoja na siyo kikundi. Watoa komenti wengi unaona kabisa wanapitwa na taarifa nyingi ila wanatoa komenti kama vile labda wanafahamu mikakati yote. Na mikakati yenyewe tukitoa taarifa views hata mia hazifiki. 😀
Ila lete Sasa habari ya taharuki, nusu sasa Uzi wamesoma 1K
kama hauna jamii yenye ustawi wa maana basi huko kwengine kote sahau.Suala la kuwa na viongozi incompentence nafikiri ni la muundo mzima wa kiungozi nchini. Embu tuachane na huyu waziri, je ni eneo lipi kama nchi tumeweza kulimudu efficiently kiasi kwamba dunia inaweza kujifunza kutoka kwetu?
Mwenye jukumu la kuhakikisha mtoto anakuwa na maadili ni mzazi ,hivi mzazi unamnunulia smartphone mtoto wa miaka 14 ili aifanyie nn ?Basi haina haja ya kuwa na wizara ya ustawi wa jamii, Ifutwe, au siyo?
Mbona tumeshasema wanaenda marekebisho ya tabia kisha warejee kwenye shule ingine? Mbona kama naandika kiswahili fasaha tu, shida Iko wapi. Mlitaka waachwe hapo ugonjwa uenee kwa watoto wote? Mnajua kuwa watoto hao wengine wasiofanya hayo nao Wana haki zao za kulindwa? Mbona hamuwasemei? Mnatakaje kwani. Hivyo ndiyo imekuwa sasa, wataenda marekebisho ya tabia kwanza na wengine watalindwa, na kokote kwingine tukiona mambo haya pia hatua za Sheria ya mtoto kupitia ustawi wa jamii zitachukuliwa tu. Ahsante kwa mchango wako.Pale ambapo yule anayetakiwa kusaidia hajui cha kufanya.Kuwafukuza ni njia ya mkato ya kukwepa majukumu.Hawa ni Watoto na wanahitaji sana kupata msaada wa sisi tuliokomaa akili.Tatizo la hawa Binti zetu lipo Duniani kote,mpaka Mtu unajiuliza hawa Watoto hukutana na nini,isitoshe ni ujinga wanaofanya wengi wao tofauti ni kujirekodi tu.Juzi tu hapa tulikuwa tunashabikia kurudishwa shuleni kwa waliojifungua sasa hawa tunawafukuza kwamba wangekua salama kama wangepata mimba?Au huko waendako wapambane wapate mimba wajifungue ndio tuwarudishe darasani?
Kwa hatua tuliyopo ni ustawi wa jamii unatakiwa kuwa imara tupate viongozi wazuri au tunatakiwa kuwa na viongozi wazuri ndio waweke misingi ya ustawi wa jamii imara?kama hauna jamii yenye ustawi wa maana basi huko kwengine kote sahau.
Hii wizara ndiyo moyo wa raia, lakini naamini hata waziroi mwenyewe haelewi hilo.
Kwa mwendo unaoenda wizara hii, subirini kama hamkuona kesi za kina milembe na za kina anti J zinapelekwa ustawi wa jamii kutatuliwa.
Basi haina haja ya kuwa na wizara ya ustawi wa jamii, Ifutwe, au siyo?Mwenye jukumu la kuhakikisha mtoto anakuwa na maadili ni mzazi ,hivi mzazi unamnunulia smartphone mtoto wa miaka 14 ili aifanyie nn ?
Mwenye jukumu la kuhakikisha mtoto anakuwa na maadili ni mzazi ,hivi mzazi unamnunulia smartphone mtoto wa miaka 14 ili aifanyie nn ?
Ulijuwaje kama ni wazazi au mabazazi ndiyo wamewanunulia?Na simu wananunuliwa na wazazi wao halafu hakuna uangalizi na tv wanawekewa king'amuzi
Wizara hii ina kazi zingine nyingi siyo hili tu. Sasa sijui ikifutwa, sijui nani atatekeleza mengine kwa mujibu wa hati idhini yake ya kuanzisha wizara hii. Halafu nimegundua watu hawajui hii wizara wanadhani kazi yake ni hii tu. Tusome hati idhini na hotuba za bajeti bungeni mzijue idara zake sita na majukumu yakeBasi haina haja ya kuwa na wizara ya ustawi wa jamii, Ifutwe, au siyo?
Mmhh usiseme hivyo kuteleza kupo, pengine wamelishana ujinga tu na kufanya waliyofanya. Mtt kusoma ni haki yake ya msingi.Shenzi kabisa hilo ndio onyo sahihi kwao .hao ukiwabakisha wata waaribu wengine
Hebu nionyeshe mzee mwenzangu nijue kama wanatufikia enzi zetu au wametuzidi tukachukue kozi,, hivi vitu sio vya kunyimana eeh jamaniNiliziona zile video yaani..... watoto wanajua utadhani ndiyo masomo waliokua wamebobea...🙄
Waziri kwa sasasa ulitakiwa uwe juu ya kutafuta "mchawi nani" kwa kuwa na mipango na utelezaji bora wa hiyo mipango. Siyo kungoja moto uwake ndiyo ukazime.Wao wazazi na Walezi hawana makosa. Makosa yako serikalini tu.
Na ukiangalia, uovu mwingi unaenda sambamba na kuanguka kwa Imani ya Mungu ambalo ni jukumu la msingi la wazazi. Hofu ya Mungu ikiishaisha huku duniani, maovu yote hustawi na kumea. Sijui kama hili nalo tunalikumbuka kama ni jukumu la wazazi katika malezi na makuzi ya watoto.
Jukumu la mzazi ni kumlinda mtoto kujiepusha na hayo yote. Na hayo yanafanyika kwenye umri wa miaka Hadi nane ya awali, ubongo unapokuwa Hadi 90%. Sasa kama hatufanyi hayo kipindi hicho, ni kazi Sana huku mbele akiondoka mikononi mwako akaenda duniani huko ikiwemo mashuleni nkUlijuwaje kama ni wazazi au mabazazi ndiyo wamewanunulia?