Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Midawa yao hiyo ndicho kichocheo kikuu cha kuongezeka VVU. Waende zaoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Imagine unasoma ujumbe kama huu na hujawahi kabisa kucheck afya yako kujua upo upande upi...
Hahahahaha kumbe huwa unaangalia avatar ee! Nitairudisha ile avatar yangu ya zamanoRafiki siku hizi umebadilisha avatar nikakusahau!
Nmekutumia mkuuAcha ufala, ikwapi hiyo namba?
Nmekutumia mkuu
"Awe makn kusema MIAKA miwili tuu" [emoji848][emoji2955][emoji2955][emoji2955]Sisi ni matajiri hakuna shida, tunajenga SGR, Bwawa kubwa la kufua umeme wa megawati 2000+, tumenunua ndege 11, mbali na ujenzi wa vituo vya afya, nk hivi vyote ni fedha za ndani nini dawa za magonjwa nyemelezi!!
Maboko awe makini kusema ni miaka miwili tu
Hawatopukutika InshallahWatu wasije wakaanza kupukutika kama mende tu.Mungu atunusuru kwa hili
UmenkumbushMimi ndio rahisiiii(alisikika mtu akihubiri
Kama vipi tufunge siku 3 tu.Watu wasije wakaanza kupukutika kama mende tu.Mungu atunusuru kwa hili
Mkuu unajua dozi ya ARV kwa mwezi inagharimu kiasi gani?? Hata CCM hawako pamoja na wewe kwenye suala hiliBora waende. Ni aibu kuendelea kupokea msaada wa ARVs pamoja na condoms. Magufuli na regime yake sasa wafill hili gap. Hakuna namna nyingine