Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

Kitu kibaya ni kibaya tu. Hakuna cha kupambana na CHADEMA wala TEC...

Sasa wewe MamaSamia2025, kama Prof. Makame Mnyaa Mbarawa - Waziri wa Ujenzi & Usafirishaji (Mzanzibari) aliyetumwa na Rais Samia Suluhu Hassan (Mzanzibari) kutia saini mkataba huu wa kishenzi na kihuni aliwaita hawa maskofu na kujaribu kuwashawishi wakubaliane naye, ikashindikana kwa sababu hakueleweka, then hakuna cha kufanya. Hakueleweka kwa sababu mkataba wenyewe haushawishi mtu yeyote mwenye akili timamu na ufahamu kuuelewa ..

Hapa hakuna cha Sir John Roberts wala wewe MamaSamia2025 unasema nini kwenye hili jambo lenu kukubalika...

Hili jambo liko kwenye point of no return kwa sababu mkataba huu ni kinyesi ambacho kimeshaingia funza na kinatoa harufu Kali ya uvundo. Haiwezekani kukipaka rangi yoyote ili kionekane kizuri..!!

Kama ni lazima sana bandari zetu za Tanganyika zipate mwekezaji sasa toka nje ya sisi wenyewe, then the best decision ni kurudi kwenye drawing board na kutangaza tender upya, kwa uwazi na kila kampuni ambayo itakuwa interested, iombe na atakayeshinda tender hiyo Kwa mujibu wa vigezo vyetu, basi anapewa kazi hiyo...

Kuna ugumu gani kufanya hivi? Je, serikali itajiona sio serikali tena iwapo italiacha hili jambo? Kwanini sisi kama taifa tunatafuta shida na matatizo pasipo sababu za msingi?

Hivi katikati ya mgogoro huu kukitokea mapigano au uvunjifu wa amani, hivi tutawalaumu TEC au CHADEMA?

Jibu ni HAPANA kubwa. Wa kulaumiwa si CHADEMA wala TEC wala waislam wanaomtetea mwislamu mwenzako wala nyie chawa wa mama, bali ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan kwa kukosa hekima na busara za kiuongozi ktk maamuzi yake..!!

Ni ujinga sana kwa serikali kuanza kupambana na wananchi ambao serikali imewekwa hapo na wao kwa sababu ya jambo hili..

Heri wewe umeelewa na unajua kuwaheshimu watumishi wa Mungu - Maaskofu wetu. Lakini, jibu sahihi juu ya mgogoro huu ni serikali kuachana na hii kitu once and for all. Mkataba huu hauna maslahi kwa taifa letu. Period!
 
Umeandika andika ila hapo mwishoni acha kunisingizia uongo kwamba "Heri wewe umeelewa na unajua kuwaheshimu watumishi wa Mungu - Maaskofu wetu.."... mimi naheshimu taifa la Tanzania na ninapenda liwe na amani. Ninawatambua hao mapadre na maaskofu ila wao wataheshimiwa na waumini wao kwamba ni watumishi wa Mungu ila sio mimi. Ukitaka kushinda vita usidharau uwezo wa adui yako. Mimi nilichokifanya nimekumbusha chama changu CCM kutodharau hawa TEC kwa sababu wanatajwa hadi kusaidia waasi kwenye Biafra civil war. Sehemu mbalimbali zenye machafuko hili dhehebu limekuwa likitajwa. Ukijumlisha na kashfa zao za ulawiti naona hakuna haja ya mtu mwenye akili timamu kuwaheshimu hao kuwa ni watumishi wa Mungu.
 
Tunapongeza TEC kwa kujitambua na kutetea watanganyika bila woga. Mmetimiza jukumu lenu kama viongozi wa kidini kuhakikisha ustawi wa waumini wenu unalindwa kwa njia yoyote ile.
Kuna watu wanasema siasa inachanganywa na dini. Mmejenga hospitali, hiyo ni dini? Mmejenga mashule , hiyo ni dini? Mmefungua vituo vya kulea watoto na mambo mengi sana. Tupuuze hawa wanasiasa uchwara wanaotaka ku propel mambo ya udini. Tunasubiri CCT.

ASANTE
 
TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.

Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini

Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Innalilah!?
 
huyu jamaa amejitAhidi kwelikweli kuyaweka sawa mwenye sikio na asikie
 
Afadhali mmeanza kupata tuakili.
 
Umeandika ila hapo mwishoni acha kunisingizia uongo kwamba "Heri wewe umeelewa na unajua kuwaheshimu watumishi wa Mungu - Maaskofu wetu.."
Pole sana kwa kukusingizia..!

Mimi nilidhani umewaelewa watumishi wa Mungu, kumbe, siyo.

Lakini kwanini unawashauri wenzio waelewe na wafanye kitu ambacho wewe mwenyewe hujaelewa na hauko tayari kukifanya? Huo ni nini kama sio unafiki?
mimi naheshimu taifa la Tanzania na ninapenda liwe na amani.
Kipi kinapaswa kuwa cha kwanza kupewa heshima; Mungu aliyeiumba Tanzania na kukufanya wewe uishi ndani yake au Tanzania iliyoumbwa na Mungu?.

Ukijibu kwa usahihi swali hilo☝️☝️, si tu utawatambua mapadrii na maaskofu, bali utawaelewa kuwa ni watumishi wa Mungu aliye hai na hivyo utawaheshimu..
Ninawatambua hao mapadre na maaskofu ila wao wataheshimiwa na waumini wao kwamba ni watumishi wa Mungu ila sio mimi.
I now understand you..

Kwa statement hii, nimekuelewa wewe baba yako ni nani.

Toka huko uliko. Njoo huku kwa Yesu Kristo tuliko sisi ili uwe salama. Na ukifanya hivi, hutawatambua tu mapadree na maaskofu wetu, bali utajua sababu za uwepo wao na kuanzia hapo, utawaheshimu..!

Ni ushauri tu MamaSamia2025. Kama ukikukera, tambua kuwa halikuwa kusudi langu ukereke bali ufikiri na kutafakari ili uchukue maamuzi sahihi ktk maisha yako..!
 
Nchi inauzwa hiii..
Hawa wenzetu wakipewa pilau na kobazi kwishaa,
Upande wa pili nao ukiwapa Kofia na T-shirt za kijani umemaliza.
 
Saa mbovu km vile inataka kusema ukweli.
 
Afadhali mmeanza kupata tuakili.
Mimi ni mtu mwenye akili nyingi sana na ninapenda Tanzania iendelee kuwa na amani. Wanachofanya TEC ni kuchonganisha wananchi na serikali na mbinu wanayotumia sio ya kuichukulia poa. Ni mbinu hatari
 
Mimi ni mtu mwenye akili nyingi sana na ninapenda Tanzania iendelee kuwa na amani. Wanachofanya TEC ni kuchonganisha wananchi na serikali na mbinu wanayotumia sio ya kuichukulia poa. Ni mbinu hatari
Basi mfiche masaburi yenu yaliyopauka kama mmekalia majivu.
 
Mbona alishasema, WaTanzania ni watu wa kuropoka alafu baadae wanakaa kimya!! Which is true.
1. Kifo Cha JPM
2. Ngorongoro na Loliondo
3. Ripoti ya CAG
4. Bando kupanda bei
5. Kisa Cha Waziri Dugange

Haya mambo yalitrend sana mpaka watu wakatishia maandamano yasiyokoma ila Leo hii Yako wapi?

WaTanzania tukiwa serious ndio viongozi watabadilika ila tatizo ni watu wa mihemko sana nakuahidi kufikia December watu watakua wamesahau kabisa issue ya bandari watakua wako busy kujadili skendo za Diamond na Zuchu!!
 
waraka wa TEC utoshe kuwakilisha hao ndugu wengine akina CCT, CPTC na wengine wanaofanana nao. TEC wamemaliza kila kitu
 
 

Attachments

  • 5449613-3bec22a5571a727ae669531ed0b5d204.mp4
    1.2 MB
Kenya kuna ukabila

Tanzania kuna udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…