Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hawajui hata kuangalia tu hata ile airport ya chato kama hakuna ndege inayodondoka ila ndege za kichawi. kama kijiji cha mobutu tu. they never learn.Nimekuelewa sana umewaza mbali ila sikio la kufa halisikii dawa Ccm ni majeuri, vig'ang'anizi, wapumbavu wasiowaza kesho wao ni tumbo na familia zao hawataki kuwaza utajili wa Mobutu Seseseko ulikoishia mbali na kujitangazia kijiji chache ambacho sasa ivi ni hame. Acha waendelee kudharau ili TEC itusaidie kuondoa awa wezi madarakani.