Mbinu rahisi ni kuwapa kesi ya uhaini tu. Wakikaa lupango miezi sita, wataomba poo wenyeweKwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama mwanaCCM mwenzangu ila siungi mkono hoja yake kwa 100%. Sir John labda haijui kiundani TEC akadhani nao pia watajibiwa kirahisi kama tunavyowajibu chama cha Mbowe.
Kanisa katoliki kama ilivyo CCM nalo limeenda hadi ngazi ya shina.. na linaongoza kwa kuwa na waumini wengi zaidi hapa nchini na duniani kwa ujumla. Wanaposema waraka wao utasomwa kwenye jumuiya ina maana hadi wananchi wa vijiji vya ndani huko Buhigwe au Kalambo wataamshwa usingizini. CHADEMA wao mambo yao huishia tu mijini na Twitter kwahiyo damage yao ni ndogo kulinganisha na hiki wanachofanya TEC.
Kingine kinachoogopesha ni hii tabia ya wakatoliki kuwa wakimya. Mapadre na maaskofu ni wasomi ambao tangu shuleni walikuwa ni vipanga yaani hawabahatishi. Wao wakishasema lao huwa hawahagaiki sana kubishana kitu kinachotia hasira mno. Ingekuwa CHADEMA hadi muda huu ungekuta Lema au Heche kashajitokeza na kuropoka pumba. Sasa hao TEC toka Padre Kitime aongee sijasikia kiongozi mwingine yeyote akiongea. Ni watu hatari. Hata tukisema CCM tuishambulie TEC kwa maneno bado itakua sawa na kujishambulia wenyewe kwasababu kuna wanaCCM wengi ambao ni wakatoliki. Kutakuwa na upinzani wa ndani.
Ikumbukwe pia hawa TEC hadi kutamka tayari wana mawasiliano na kiongozi wao mkubwa yaani Papa. Kwa msiojua nguvu ya papa mkasome kisa cha Papa Gregory VI na King Henry IV ndo mtaelewa vizuri. Mfalme alikalishwa kwenye baridi siku 3 akisubiri kuonana na papa amwombe msamaha. Haikuwa poa. Katoliki pia limekuwa likihusishwa na siasa za nchi nyingi duniani. Kwenye story ya vita ya Biafra huko Nigeria hili kanisa lilitajwa kufadhili waasi.
Wito wangu ni kuwasihi wasomi na wataalamu wa diplomasia & siasa ndani ya chama na serikali kukaa chini na TEC ili kumalizana nao. Kama kuna mbinu nyingine ambazo sio za kidiplomasia lakini zinaweza kutuliza hali ya hewa nazo pia zitumike.
Mashehe hawana madhara.TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.
Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini
Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Wale Waganga wa Tulii aliowapa KAZI, wameshindwa kuwaroga Tech?
CCM ni Kikundi cha Wapika majungu na Fitna au huwajui watatumia vuguvugu hili la Bandari ili kutuchonganisha na kutugawa sisi wananchi Zanzibar kuna watu hawasalimianiwawakusanye kujibu hoja, wakija kivingine ndio itasaidia anguko la chama dola
Mpaka Hapa serikali imeshavunja katiba Hilo hulioni? Unashuka mavi yanakunukia unaanza kuuliza watu nani kajinyea?Wewe huna msimamo na hauelewi usimamie nini na usimamie wapi. Hofu yako na uoga wako usitake kuwapa na kuwaambukiza wengine,. Wewe simama mwenyewe na uoga wako. Usikitishe chama wala serikali.serikali itaendelea kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba nasiyo kwa mujibu wa nyaraka. Ukiwa mtu wa hofu na uoga lazima uwe na unafiki ndani yako na kutaka watu wote wawe wanafiki kama wewe.
CHADEMA subirini hadi 2215Sisi CHADEMA tunataka mikataba yote ya ilioingiwa na Serikali ya CCM iwekwe wazi tuikadili na tunawaomba Watanzania wa Dini zote watuamini ili tuionoe CCM na majizi yake Madarakani
Mkuu unazungumzia siasa hapa tunazungumzia rasilimali za nchiKwani kanisa Catholic la DRC lina muundo tofauti na hili la bongo kwenye kuwasiliana na waumini?
Martin Fayulu alikuwa mgombea wa kanisa uchaguzi uliopita na kampeni alipigiwa hadi kanisani na kanisa likawa hadi na kituo cha kujumlisha kura ila holaa,wakayakataa matokeo bado holaa.
NB: DRC ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya waumini wa kanisa Catholic Africa na top 10 duniani with 50M+.
Ukimya wa Kadinali Pengo kwenye sakata la Niwemugizi lilikuwa tosha wewe ni mtu mzima lazima ueleweUna nukuu yoyote kwamba kardinali pengo alitangaza kutokumuunga mkono Niwemugizi?
Serikali ya CCM itawapangua TEC kisayansi hamtaamini. Wewe mkuu wa wachawi utashangaa Padri Kitime anafanya Press ya kusifu DP World.MamaSamia2025 leo umeongea ukweli wa moyo.. Uhalisia kabisa pengine bila kujua..
Umenikumbusha mchawi anapokata roho anavyoweweseka! [emoji23] ila wewe sio mchawi[emoji1544][emoji1550][emoji3]
Rejea Ivory CoastMashehe hawana madhara.
CHADEMA tuko tayari kushika Dolawawakusanye kujibu hoja, wakija kivingine ndio itasaidia anguko la chama dola
Mkuu umesahau kuandika namba yako ya simu kwenye hii comment. Pia umesahau kusema wewe ni kijana mzalendo unayeipenda nchi yako.Wewe huna msimamo na hauelewi usimamie nini na usimamie wapi. Hofu yako na uoga wako usitake kuwapa na kuwaambukiza wengine,. Wewe simama mwenyewe na uoga wako. Usikitishe chama wala serikali.serikali itaendelea kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba nasiyo kwa mujibu wa nyaraka. Ukiwa mtu wa hofu na uoga lazima uwe na unafiki ndani yako na kutaka watu wote wawe wanafiki kama wewe.
Nitaendelea kusimama upande wa Rais samia , serikali ,chama na Taifa langu kwa kuwa huo ndio upande ambao muda wote na wakati wote ambao Rais samia amekuwa akipigania kuhakikisha kuwa Taifa hili linasonga mbele na kupiga hatua za kimaendeleo.
Watu aina yako wanaopenda kuambukiza hofu kwa watu wengine huwa ni wengi na hawakosekani katika jamii. Muoga hufa mara nyingi lakini jasiri hufa mara moja tuu.wewe ni muoga na hivyo lazima uwe mnafiki.
Unaonekana Mpumbavu tu ficha upumbavu wakoView attachment 2722850
Nyara za Nchi zinavunwa na Wazungu hivi sasa tunavyoongea TEC wamejifungia nyuma ya majoho mbona hatusikii wakiijadili?
Naona dawa imekuingia barabara😆😆😆Unaonekana Mpumbavu tu ficha upumbavu wako
Nao wana akiliWale Waganga wa Tulii aliowapa KAZI, wameshindwa kuwaroga Tech?
Tulia waraka unasomwa usiwe na pupaNaona dawa imekuingia barabara😆😆😆
Huu mchezo hauhitaji hasiraa🤣