Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

Hao watu mnawapa vichwa sana!! Hivi kama wana upekee huo wangekula pesa za escrow?
 
Nao wana akili
Waraka imesababisha aende Kanisani akidhani watamwogopa, naye kapewa waraka ausome!!!

Sijui Ile kauli ya " Nyooka naye" ataitumia Kwa tech?

RUSHWA Kweli hupofusha ufahamu!!!!
 
Na huko Kanisani Mmepewa Waraka msome nyinyi wenyeweeeee Vijana wa LUMUMBA STREET ili Sindano ikite kwenye mfupa.
 
Nilikuwa naskiaga ile kauli ya CCM wameshikwa pabaya ila huwa napuuza ila hii ngoma ya leo ni extra vaganza 🀣🀣🀣
 
Kumbe ile safari ya Slaa kwenda Ujerumani kusomea Uraisi ilikuwa imedhaminiwa na TEC?
 
At
At least umeongea jambo la msingi.!! Jambo kubwa ni kutowaona TEC kama CDM, au WADINI au WASIOJUA MKATABA UNASEMA NINI. Kimsingi hoja zijibiwe kwa umakini
 
Ogopa taasis ambayo ime exist karibia miaka 2000
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
 
Wewe ndio unaiogopa TEC. Haina meno wala nini. Ebu nikuulize, TEC ipo yangu wakati wa Uhuru. Kipi imewahi kufanya nchi hii? Pia ukumbuke, sisi waumini wao tuliosomewa Leo Waraka ni baadhi yetu ni Wana CCM na wengine ni Watumishi wa Serikali hii hii ambayo inawapa mishahara ambayo wanaenda kutoa sadaka na zaka mbalimbali kuanzia Jumuiya hadi Jimboni hapo sijazungumzia michango ya ujenzi wa makanisa na magari ya Mababa Mapadre. Unafikiri sisi waumini tukiambiwa tuchangue, tutamchagua nani hapo? Akili mkichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…