Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

Mshana JR unakumbuka wale wa Gambosh waliapa atakayempinga Magufuli watamuua Mungu akqfanya versa vis! Hawa Wa Tulia sijui kama wamejufunza Jambo! Mabukusi ametisha sana
Wale wachawi 400 wengi walikuwa wapigaji
 
Hapa kweli kimeumana. Kumbe hawa jamaa TEC wanatisha, yaani wakiongea nchi yote inatetemeka. Binafsi namuomba mhe Rais wetu amalize hii sintofahamu upesi maana hii mizozo ya kidini haina afya kwa taifa letu pendwa.
uzuri wa TEC hawaongei ovyo kama nape
 
Ngumu kumeza chungu, dah!!
 
ROMA LOCUTA;CAUSA FINITA EST (Rome has spoken; cause is finished)
 
Kuna Waarabu nawaona hapa Mwanza toka juzi wako na Ma-V8 wakisindikizwa na vyombo vya usalama.
 
TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.

Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini

Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Yote haya kayataka Samia na wajomba zake
 
hii nchi ikivurugika wa kulaumiwa ni yule anayelazimisha mkataba huu, kwasababu watu wanasema yeye hasikii. naogopa sipendi yatokee na Mungu aingilie kati. kama vipi Mungu atuondolee tu hao viongozi wa ajabu ajabu ili tubaki na wenye uzalendo na watakaowasikiliza wananchi. hayo ni maombi yangu.
 
Si mnasemaga Nchi ni Yenu. Sasa pambaneni
 

Acha ujinga wewe usifananishe imani za watu na pesa hata mara moja
 
Ume
Umekumbusha JIMBO LA MUHAMBWE ,WILAYA YA KIBONDO MWAKA 2015.CCM ilimpitisha mgombea aliyekuwa na kesi na padre wa Parokia ya Mabamba .Parokia zote ndani ya Jimbo zilihamasisha bila woga kutompigia kura matokeo yake kwa mara kwanza upinzani ukashinda Felix Francis Mkosamali (NCCR -MAGEUZI ) akashinda
 
Mbona kipindi cha Magufuli aliwaficha wote hakuna aliefurukuta
 
Nimekuelewa sana umewaza mbali ila sikio la kufa halisikii dawa Ccm ni majeuri, vig'ang'anizi, wapumbavu wasiowaza kesho wao ni tumbo na familia zao hawataki kuwaza utajili wa Mobutu Seseseko ulikoishia mbali na kujitangazia kijiji chache ambacho sasa ivi ni hame. Acha waendelee kudharau ili TEC itusaidie kuondoa awa wezi madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…