Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

hawajui hata kuangalia tu hata ile airport ya chato kama hakuna ndege inayodondoka ila ndege za kichawi. kama kijiji cha mobutu tu. they never learn.
 
Mbona kipindi cha Magufuli aliwaficha wote hakuna aliefurukuta
Huna kumbu kumbu au umejitoa ufahamu au hujui! Kaulize aliyeweka udongo wa kwanza kwenye shimo la magufuli ni nani na ilikuaje wakati wa utawala wa Magufuli! Magufuli alifeli zaidi alipojaribu kulinyooshea kidole kanisa
 
TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.

Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini

Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Acha umoja ufe lakini bandari zisiuzwe
 
August Imekuwa Ngumu Na Chungu Hasa Kuhusu Dubai Port World
Tutaficha Wapi Sura Zetu, Ila Sasa Jambo Limezua Jambo
Magazeti Hayajaandika Lolote Kuhusu Waraka Wa TEC

Sasa TEC Wenyewe Wameupeleka Huo Waraka Sehemu Ambako Gazeti Haliwezi Kufika
Na Endapo Gazeti Likifika Ni Baada Ya Mwezi Na Wananchi Hawawezi Kulinunua
TEC Wao Wana Vishwambi Wamerushiana Tanzania Yote Haa Haa
 
TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.

Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini

Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Hakuna umoja wa kitaifa unaweza kusimamiwa na chama kilichoko madarakani kwa wizi wa kura.
 
Tha tha tha tha tha tha tha tha hahahahha nimekufa alafu nikafa tena nacheka kama mazuri nakumbuka kuna taasisi imejenga pembezoni mwa Kanisa, mdomo koma kaa kimya utaniponza😉😉🤣🤣🤐
 
Wamefadhili Hadi waasi na watu wanafurahia... interesting
 
Nchi itageuka kuwa nzuri zaidi, maana CCM lazima itolewe madarakani.
Lakini tahadhari zangu tusikubali Wanasiasa watugawe kwa misingi ya Dini kanda kabila ect..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…