Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

Huna kumbu kumbu au umejitoa ufahamu au hujui! Kaulize aliyeweka udongo wa kwanza kwenye shimo la magufuli ni nani na ilikuaje wakati wa utawala wa Magufuli! Magufuli alifeli zaidi alipojaribu kulinyooshea kidole kanisa
Hakuna lolote,walikaa kimya,wengine walinyang'anywa password
 
Lakini tahadhari zangu tusikubali Wanasiasa watugawe kwa misingi ya Dini kanda kabila ect..
TEC sio chama cha siasa, na wala suala la bandari sio la kisiasa. Hapo wanatugawa vipi? TEC wametekeleza wajibu wao wa kulinda rasilimali za nchi. Hao wanaotumika na wanasiasa acha waendelee kutumika maana hatuna jinsi.
 
Hakuna lolote,walikaa kimya,wengine walinyang'anywa password
Kwanza kimsingi kanisa halipambani kwa silaha wala mabavu, bali kwa hoja, na Magufuli hakuwa na hoja bali mlevi wa madaraka. Na kama huamini tuambie yuko wapi leo hii na kile kiburi chake cha madaraka?
 
Nchi haivurugiki kwa tamko la maaskofu wewe

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Yaani nao wapate mgao toka Dpworld au?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi moyoni mwangu nina hofu, mashaka na wasiwasi kwamba, TEC na RC au wadogo zake (Kanisa) lisije likafanyiwa hujuma na wasiojulikana au adui akatumia mwanya huu kufanya shambulio la kigaidi,
Maana tuna kumbukumbu ya mashambulizi kama yale ya Arusha sijui Kaloleni mkutano wa Balozi wa Papa Tanzania,
Hujuma yoyote ile kwa RC au Kanisa lawama zote zitaenda kwa serikali.
 
Au tuuibe ule waraka tukimbie nao,kama tunavyokimbiaga na maboksi ya kura,eti!?
 
Aahaaaaa,nilimuona Tulia akiwa ametulia tuliiii
 
Acha ujinga wewe usifananishe imani za watu na pesa hata mara moja
Ndio hivyo Sasa. Kama wewe unathamini Dini kuliko pesa, nenda kaishi Kanisani uone kama hawajakufukaza ukatafute hela! Kudadeki!!!
 
Zama hizo ilikua kusema mimi mwanaccm ni sifa lakini sasa ni kujitia aibu na kujidhalilisha sana.
 
Hao wakatoriki wana balozi wao kama ilivyo nchi nyingine hapa TZ.kwa maneno mwngine balozi wao anayo copy yake na inawezekana iko Vatican tayari.msitake moshi mweusi utande Tanzania.
 
Hakuna lolote,walikaa kimya,wengine walinyang'anywa password
Unasoma unachoandika au unataka uonekane unaadika pia! Unaweza kutuambia nani alinyang'anywa password?
Halafu tujikite kwenye mada mtambuka
 
Hao wakatoriki wana balozi wao kama ilivyo nchi nyingine hapa TZ.kwa maneno mwngine balozi wao anayo copy yake na inawezekana iko Vatican tayari.msitake moshi mweusi utande Tanzania.
Hahaaa Balozi wa Vtican Tanzania nae ni Askofu au Fr. Hilo halipingiki kama ulivyosema mkuu!
International pressure ilimtoa Mwambukusi et al Mahabusu baada ya wajinga wa Lumumba kulazimisha kesi ya Uhaini!
Nchi ni ya wananchi, hao wachache wamejipa au wamepewa dhamana hivyo inafaa wajue kwamba wanawajibika kwetu na sio dipii
 
Watanzania wengi siku zote huwa wanachagua upande wa dini, Serikali kwa kulifahamu hilo ndio maana huwa inakumbatia viongozi wa dini katika kila shughuli au tukio.
 
Hao wakatoriki wana balozi wao kama ilivyo nchi nyingine hapa TZ.kwa maneno mwngine balozi wao anayo copy yake na inawezekana iko Vatican tayari.msitake moshi mweusi utande Tanzania.
Dar es Salaam, Tanzania (SNR) – Msgr. Richard Gyhra, a priest of the Diocese of Lincoln serving the Church in the east African nation of Tanzania, described the nation as “Mutual of Omaha’s Wild Kingdom,” referring to the 1963-88 weekly American television documentary.

In his 13th year of diplomatic service for the Holy See, Msgr. Gyhra is the acting head of the apostolic nunciature at the nunciature, or papal embassy, in Tanzania.

The nunciature is in the city of Dar es Salaam, on the Indian Ocean coast. The Holy See has diplomatic relations with 183 sovereign nations. The pope’s personal representative, usually an archbishop, is frequently the nuncio in the represented country.

A nuncio is responsible for carrying out instructions from the Holy See. Since the Holy See does not have the commercial, trade, military or business interests that other countries have, much of a nuncio’s work in a remote country involves working with the local Church.
 
Sauti ya watu sauti ya mungu TEC wamemaliza kila kitu ni wakati ss wa kufuatilia mbali mkataba wa kimangungo wa DP World kama kuna jamaa waliochuka hela zao warudishieni kimya kimya maana soon mtaumbuka
 
Unasoma unachoandika au unataka uonekane unaadika pia! Unaweza kutuambia nani alinyang'anywa password?
Halafu tujikite kwenye mada mtambuka
Msilete dini serikalini,watanzania ni kuwapeleka kibabe tu,Mama kawapa uhuru mnapayuka payuka tu na dini zenu za vichochoroni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…