Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

The best response from a true believer.
 
Dank u wel [emoji120]
 
Tukisema tuombe tukiwa hatuna dhambi hapa tutajidanganya wenyewe kwa sababu Biblia inasema wote ni wadhambi.Hakuna anayeweza kusimama mbele za Mungu na kusema yeye hana dhambi.

Kitu tunachoweza kujivunia ni kuwa Yesu ametufanya tuhesabiwe kuwa ni wenye haki mbele za Mungu kupitia damu yake iliyomwagika msalabani.Kumwamini Kristo kunatupa uhalali wa kusogea karibu na Mungu tukiwa na ukaribu wa baba na mwana.Na hii ni hakika kuwa maombi yetu yanafika.

Tusiwatishe watu na mambo ya uwe hauna dhambi.Hakuna atakayesimama kuomba kama hicho kikiwa ndo kigezo cha maombi kumfikia Mungu.

1 Yoh 1:8 SUV
Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.
 
Mahusiano na Mungu unayapata wapi au vipi
 

Yule anayesali akipeleka maitaji yake Ila katika mahitaji yake lengo kuu sio yeye, Bali mapenzi Na matakwa ya Mungu!

In short hizo bulletin Ni ujinga
 
Mungu hana Masharti.siku Nyingine Mwambie Tu Mungu Nimekuja Kukusikiliza Wewe Unasemaje. Maana Maisha Yangu Unayajua Sina Haja Ya Kukuomba Nipe Ninachostahili hata Kwa Ziada yake
hayo majibu yatakuwa audio au kuptia njozi au inakuwaje..

hapohapo kumbuka kuna verse ndani ya biblia inaonya kwamba maombi ya mwenye dhambi ni kelele/ machukizo mbele ya MUNGU
 
Matabibu wanaodili na maradhi ya akili ya binadamu walishaainisha dalili za kuchanganyikiwa ni pamoja kusikia sauti zisizoeleweka kama hizo inner voice.ni utata mtupu.
 
Matabibu wanaodili na maradhi ya akili ya binadamu walishaainisha dalili za kuchanganyikiwa ni pamoja kusikia sauti zisizoeleweka kama hizo inner voice.ni utata mtupu.
Mkuu mimi nilikua nasikia sauti zinazungumza mambo yanayoeleweka na nilikua nafahamu kila kitu lakin ni kama zilikua zimenizidi nguvu nilikosa maamuzi nilikua nafuata chochote ninachoambiwa niliekwa kama zezeta na kuna siku kama niliamrishwa nivunje sahani kwasababu siwezi kujizuia nikavunja ikawa ndio sababu ya kupelekwa mental. Nilipofika mental wakaniuliza unasikia sauti nikakataa na ilikua nazisikia na nimegundua pia walioko mental wengi sio wendawazimu ni watu waliokua hawana familia bora na wala unga.

Nilichomwa shindano sauti ikaniambia nisile dawa kweli nikakataa dawa zao mpaka nilitoka lakin saiv sauti zimekata kama mwezi.
 
Mathayo 6:7

"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi"
 
Maswali mawili kwako

1.Je mkeo uliyeachana naye mlifunga ndoa ya Kikristo kanisani?

2.Je ni kweli ulimtesa?

3.Mambo gani yaliyosababisha muachane

Uwe muwazi kujibu ili ushauriwe vizuri
 
hayo majibu yatakuwa audio au kuptia njozi au inakuwaje..

hapohapo kumbuka kuna verse ndani ya biblia inaonya kwamba maombi ya mwenye dhambi ni kelele/ machukizo mbele ya MUNGU
Ni kweli maombi ya mwenye dhambi ni chukizo biblia haijadanganya. Sasa inabidi utambue ni namna gani utaonekana na asiye na dhambi mbele za Mungu ili maombi yako yasiwe ni chukizo.

Hapo ndipo Yesu Kristo anapokuja kwenye picha sasa.Binadamu ni mdhambi na kamwe hawezi kusimama mbele za Mungu na kuclaim yeye hana dhambi.Kwa mantiki hii maombi ya binadamu wote ni chukizo.

Yesu alipokufa msalabani amelipa gharama ya dhambi za mwanadamu za kale,za sasa na za baadaye.Maana yake ni kwamba kwa ambaye ATAMPOKEA Yesu Kristo kama bwana na mwokozi wake basi atahesabiwa kuwa mwenye haki mbele za Mungu kwa sababu deni lake la mauti limeshalipwa.Hata akianguka dhambini katika maisha yake ya kila siku hatatoka katika nafasi yake hiyo ya kuhesabiwa haki kwa sbabu amelipiwa mpaka deni la makosa yake ambayo bado hajayafanya.
(Najua inasound kama haiko sawa hv ila ndo iko hivyo,thats christian faith).

Kwa mantiki hii sasa A TRUE Christian Believer is always RIGHTEOUS in the EYES of GOD and his/her prayers are always heard.
 
Maswali mawili kwako

1.Je mkeo uliyeachana naye mlifunga ndoa ya Kikristo kanisani?

2.Je ni kweli ulimtesa?

3.Mambo gani yaliyosababisha muachane

Uwe muwazi kujibu ili ushauriwe vizur

Maswali mawili kwako

1.Je mkeo uliyeachana naye mlifunga ndoa ya Kikristo kanisani?

2.Je ni kweli ulimtesa?

3.Mambo gani yaliyosababisha muachane

Uwe muwazi kujibu ili ushauriwe vizuri
Mkuu ndoa ya kiislamu na mke alikataa tu mwenyewe na sikumbuki kabisa kumtesa.

Alipogeuka nilizishangaa sana izo kauli
 
Yesu unampokea vip kua mwokozi wa maisha yako? Kwa kubatizwa au kuokoka?
 
Yesu unampokea vip kua mwokozi wa maisha yako? Kwa kubatizwa au kuokoka?
Kuokoka ni matokeo.Being Saved is a result of
Repenting (changing of ways of believing and now believe in Jesus Christ),
Confessing your sins (admitting that you are a sinner) and asking God to cleanse your sins by the BLOOD OF JESUS CHRIST his SON through prayer.
Baptism the final act as an outward expression of being a member of the church of Christ.

Do these and you will be SAVED and you will have a personal relationship with GOD.
 
we mwamba ni muongo kinoma, haya yote ni kusadikika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia kwenye maombi ili Mungu akujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…